Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 2,482
- 5,371
D-RICH mzee wangu pia anaumwa mwaka wa tatu sasa, maisha yanaendelea kwa neema ya Mungu. Pole sana na akutie nguvu na kukuponya mkuuPole sana mkuu.... Nilimshuhudia mzee wangu akipambana na maradhi for 5 years, naelewa ugumu wake japo kwa kutizama!!
Ila usikate tamaa ndugu, naamini unamuamini Mungu..... usimkatie tamaa kabisa, siku moja atakurejeshea tumaini ndugu