Hahahaaa... sawa my lawyer!!!Aiseeeeeeeeeeee!
Kila la kheri boss kwenye likizo bila shaka itakuja na matunda(----)
charminglady....I miss you already, mwanawasu!.
Ndugu wana Chitchat na JF kwa ujumla...
Nasikitika kuwaaga :sad: :sad: :sad: , kuanzia jumatatu ya tarehe 18/03/2013 nitakuwa nje ya Jukwaa letu pendwa kwa muda usiojulikana. Mungu akipenda tutaonana tena hapa jukwaani.
Nitawamiss saaaaaaaana.....
charminglady nimeanza kuku mis kabla hata j.tatu haijafika
kwani harusi ndio ishakaribia?? nasikitika moyoni nalia machoni... nipm namba yako japo niwe nakusalim tuuuuuu,
wajua twakupenda ila majukumu yamekupenda zaidi.
will miss uuuuuu:nono:
Jamani cousin hata hatujaonana unaondoka jamani![]()
![]()
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii forum
naomba nikuone nikuage.........
hahahaaaaa........ Kama vipi twende unisindikize basi.... Kizygote noma aiseee bado sana ati... haya stay safe!!! :crying:
Mimi siyo braza wako, ntake razi.Ndugu wana Chitchat na JF kwa ujumla...
Nasikitika kuwaaga :sad: :sad: :sad: , kuanzia jumatatu ya tarehe 18/03/2013 nitakuwa nje ya Jukwaa letu pendwa kwa muda usiojulikana. Mungu akipenda tutaonana tena hapa jukwaani.
Nitawamiss saaaaaaaana.....
Aione: Daddy watu8, Mummy measkron, Sisters sweetlady & WiseLady, cousins ladyfurahia, FirstLady, brother Davie S.M, Elizabeth Dominic, Mtambuzi, Erickb52, Arushaone, Jiwe Linaloishi, Paloma, Madame B, amu, Mr Rocky, Asnam, Zion Daughter, Arabela, Filipo, marejesho, Bishanga, KakaKiiza, Nivea, Chimbuvu, C6 , ThinkPad, Yegomasika, Lucas, Asprin, King'asti, gfsonwin, cacico, snowhite na wanaJF wooooote!!!!!!!!!!
:humble: :humble: :humble: charminglady - Miss Chitchat 2012 :A S 103: :A S 103::A S 103::A S 103:
usiwe na wasiwasi honey, mie najua huyu CHARMiglady ni ndugu yako kabisaaaa!! so hakuna tatizo lolote.. au sio my Evelyn Saltunasemaje honey???
usiwe na wasiwasi honey, mie najua huyu CHARMiglady ni ndugu yako kabisaaaa!! so hakuna tatizo lolote.. au sio my Evelyn Salt
najua umenimiss dear Evelyn Salt hote hayo ni kutokana na majukumu nakuahidi tegemea familia yenye furaha upendo na amani ndoa yetu iwe ni mfano wa kuigwa.afu nimekumiss mpenzi.
Unajua sitaniwagwi?
Haya sema nibebe nguo za kijijini, porini, mlimani ama baharini? Nibebe na camping facilities ama tutakuwa tunakaa mahotelini?
hahah abebe nguo za mahameni eeeeeeee????Beba nguo za mashambani mamie!!