CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
kila la heri mumie........
lol shostito mi ntakumis walahi ila siutahudhuria kile kikao chetu cha mabachelor wa CC.Mungu akutagulie umalize likizo salama urudi na story na mbwembwe nyingi hapa jamvini ila siutumie hata simu mbona neti kila mahali au waenda kufundwa?????????
Mweeh! Kwanza nakuonea wivu! Likizo kwa muda usiojulikana?
Pili urudi na kizygote tafadhali.
Nitakumiso binafsi yangu. Uwe salama
ufike salama pi nasikia kulia vile ntakumishata mie nitakumiss sana mpendwa..... Nina option ya kutumia simu ila nalazimika kutotumia internet kwa muda.
Usijali kama nitapata taarifa mapema ya kikao nitahudhuria!!
Baki salama..........
Wewe si kuna kipindi ulitangaza kujitoa JF? Ulirudije rudije we sepa kimya kimya
Mbona hizi tAarifa zina walakini
Kuna sehem umepigwa stop kuhudhuria jukwa letu
Namsaka huyo kiumbe charminglady
Nicas Mtei hebu kuja pande hizi utupe taarifa ya nini kinaendelea aise maana nina wasiwasi
ufike salama pi nasikia kulia vile ntakumis
Ndugu wana Chitchat na JF kwa ujumla...
Nasikitika kuwaaga :sad: :sad: :sad: , kuanzia jumatatu ya tarehe 18/03/2013 nitakuwa nje ya Jukwaa letu pendwa kwa muda usiojulikana. Mungu akipenda tutaonana tena hapa jukwaani.
Nitawamiss saaaaaaaana.....
Aione: Daddy watu8, Mummy measkron, Sisters sweetlady & WiseLady, cousins ladyfurahia, FirstLady, brother Davie S.M, Elizabeth Dominic, Mtambuzi, Erickb52, Arushaone, Jiwe Linaloishi, Paloma, Madame B, amu, Mr Rocky, Asnam, Zion Daughter, Arabela, Filipo, marejesho, Bishanga, KakaKiiza, Nivea, Chimbuvu, C6 , ThinkPad, Yegomasika, Lucas, Asprin, King'asti, gfsonwin, cacico, snowhite na wanaJF wooooote!!!!!!!!!!
:humble: :humble: :humble: charminglady - Miss Chitchat 2012 :A S 103: :A S 103::A S 103::A S 103:
Mbona hizi tAarifa zina walakini
Kuna sehem umepigwa stop kuhudhuria jukwa letu
Namsaka huyo kiumbe charminglady
Nicas Mtei hebu kuja pande hizi utupe taarifa ya nini kinaendelea aise maana nina wasiwasi
asavari mmeacha namba tutawapigiaPia napenda kuungana na wewe kwenye masikitiko haya kwa kuwa nitaambatana na wewe kwenda likizo kule kisiwani!
Ntawamiss sana ila tutakuwa tukipatikana kwa 0713-800 800 masaa 24
Jamani my cousin wapi tena ndo mitihani imeanza au naomba uniPM basi japo nisikie sauti yako ya mwisho best natamani kulia kwi kwi kwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii