- Thread starter
- #21
Hahaha we hukipati?pole sana mkuu mpaka umelifikiria hili means unajuta or unakipata cha mtema kuni
Hahaha we hukipati?pole sana mkuu mpaka umelifikiria hili means unajuta or unakipata cha mtema kuni
Umesahau 'jifunze kuridhika'1. Ukitaka kuwa na mwenzi perfect basi perfection ianzie kwako.
Kama Mke wako hakati kiuno kama geni basi wewe kata kiuno kama pangaboi LA bombadia.
2. Usitarajie miujiza mikubwa ku toka kwa mwenzio nae pia ana makosa na hukosea
3. Jifunze kuwa mvumilivu na mwenye kusamehe maisha yatakuwa rahisi kwako
4. Jiepushe na uwongo
heheheeee aaah sikipati asee,na naogopa hatariHahaha we hukipati?
Hongera kwa kuwa katika 1/4Asante Mungu kwa ndoa takatifu, me bado ntamchagua huyu niliyenae,,
Bila shaka mna wiki tatu tangu muoane.. 😛 😉Asante Mungu kwa ndoa takatifu, me bado ntamchagua huyu niliyenae,,
mbona kwenye mazishi ya wenza wenu mnalia? kumbe ni kilio cha furaha?
asante mkuuHongera kwa kuwa katika 1/4
Kisa cha kweli cha Mhaya mmoja Mkatoliki:Ikitokea Mungu akaruhusu sahiz kuturudisha nyuma muda wa kuoa au akavunja ndoa hizi na kutaka watu waoe upya
Je utamuoa tena huyo uliyenaye????
Kwangu mimi hapana na naamin 1/4 tu ndo wataoa walionao
Umesema vemaIkitokea hivyo wengi wata opt kubadilisha wenza wao, lakini wengi ambao wata opt hivyo baada ya muda watatamani warudiane na wenza wao wa awali.
Unajua kwa sababu wengi wetu hatujua upande mwingine ukoje, yaani hatujawahi kuishi na watu wengine then tunafikiri kwamba tuna wenza ambao hawatufai.
Ukiona couple nyingine unafikiri labda jamaa ana bahati ana mke mwema na mzuri, au ana mme mwema kuliko wa kwako. Kumbe ni vile tu uko nje, unawaona kwa nje, ukipewa uishi naye wewe utaona ayaaa kumbe ndo hivi.
Usia kwangu kwa kila mwana ndoa, ridhika na uliye naye, huyo ndo mungu amakuchagulia. Ishini kwa mapenzi mema na kuombeana heri.