nikipata likes kutoka kwa THE BOSS' naskia raha sana maana humu ni km mpira kuna man of the match,huyu kaka mada zake zimetulia ,pia yupo majukwaa yote na kote analenga mule mule.....
nikipata likes kutoka kwa THE MENTOR,nafurahiii maana yuko single na hajawahi kuficha marital status yake kuwa yupo single.....ni sie ladies kuplay zetu cards kuwin his heart,AM THRILLED i am one of them! nikiiweka kimtaa kaka yangu mentor kunipa likes ni km kunikonyeza vile...just flrting:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa
nikipata likes kutoka kwa INVISIBLE nafurahi sana yey,e comandoo kuweza kubuild and maintain chombo kama hiki ,watu wanakuwa informed at no time mie huwa naimagine invisible atakuwa libaba sema linaloenda na wkt hahaaa i guess nikikuta nahisi umevalia miwani tinted na jeans lol,well kupata like kwa jitu la miraba minne it means a lot....
wote nisiowataja likes zenu means a lot to me.it means my mchango is valued...and thats is a lot!
nyie je likes mnaionaje,ukiipata unajisikiaje????
:whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle: