Napenda kutuma Salamu kwa Bibi yangu akiwa Mashambani Lushoto.
Wa pili Wana ChitChat popote pale Mlipo
Na Wa Tatu ni Mamkwe,Bamkwe,Shost,Mwanfnz wangu na Ma Mods popote walipo humu JF.
Ujumbe:Naogopa BAN
Wimbo:House of Reggae by Burning Sphere.
NIMEPOTEA JUKWAA.
aahhh kwani mwenye macho huwa anaambiwa ona?? nakuulizaje Madame B, za kwenu kwema huko?? ni katika kukujulia hali lol!
😛eep: Naongea na mdau ili
Baadae nkupeleke Cinemax.
Nnina njaa kama nipo korokoroni,ebu do ze nidiful
Mmmh.....haya.
Makubwa madogo yana afazali.
Tutaona mengi mwaka huu.
Roulette, i like this kinda women who try to portray wako very strong kwenye majicho.........Dah unazidi kuniuaaaa....Lol!Jibu ni lile lile: sina muda wa kujieleza kwa wanaume, tena in private. Hali kadhalika I am not interested in meeting a guy.