Hivi ninapo sema "jibu ni lile lile" unadhani jibu la kwanza nilimpa nani?
By the way, I am fine, thank you.
Ni kweli uliwajibu wale watoto Erickb52, Kaizer na Young_Master.........Nimefurahi kusikia weye ni mzima wa afya.
Hivi kuna mod mwingine mdada?
Napenda kutuma Salamu kwa Bibi yangu akiwa Mashambani Lushoto.
Wa pili Wana ChitChat popote pale Mlipo
Na Wa Tatu ni Mamkwe,Bamkwe,Shost,Mwanfnz wangu na Ma Mods popote walipo humu JF.
Ujumbe:Naogopa BAN
Wimbo:House of Reggae by Burning Sphere.
NIMEPOTEA JUKWAA.
Waulize. Halafu Kaizer sio wa kuweka kwenye hicho kikundi chenu tafadhali.
Nimeshajua mchawi wangu!!!
Roulette karibu sana. utamkuta AshaDii japo kaujauzito kanamsumbua ila ndo kawaida, she misses you.
Mkuu Kaizer, mi ntapretend hata sijaona ulichokisema hapa.........aseee msalimie sana dada yangu AshaDii mwambie amemisiwa sana kutoa miongozo mpaka Bunge sasa linatetereka
Kipipi mi hapana tania jamani.....umefikisha?
Hahahaaaa platozoom baada ya kugonga mwamba kwa Roulette unataka kuhamia kwa Mod mdada mwingine?Ni kweli uliwajibu wale watoto Erickb52, Kaizer na Young_Master.........Nimefurahi kusikia weye ni mzima wa afya.
Hivi kuna mod mwingine mdada?
Teh kauli ya kiume hiiNajipanga upya
Hahahaaaa platozoom baada ya kugonga mwamba kwa Roulette unataka kuhamia kwa Mod mdada mwingine?
Hapa tumebaki vidume tu
Na ukizidi kulichunguza hilo suala nakupa za uso ukamlilie charminglady wako heheheee
Au tumfanye bibie awe Mod?
Teh sawa musee all the BestSijagonga mwamba bado natunga sheria