Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,727
- 59,987
Lakin sio kujiremba tu lakini pia wanaume wa kimbororo wanatakiwa wakae Juani kwa masaa kadhaa wakiwa wanaimba na kucheza (Yaake) lengo la hayo yote ni kuonyesha uchangamvu wao na stamina zao mbele ya wanawake ambao hawajaolewa
Wanawake hao ambao hawajaolewa na wanatarajiwa kuolewa katika siku za karibuni ndio huwa kama majaji wa mashindano hayo ambayo matokeo yake ni kuzaliwa uchumba na ndoa
Ungependa kuwa jamii ya wambororo??