Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,544
- 30,100
Hata Arusha kwa Mromboo wanachoma nyamaImetulia
Naanza kuvuta picha sasa, maana hata pale Dom kunaeneo maarufu kwaajili ya "Nyama choma" Hivi ni nyama choma hii tunayoijua sisi au ndo kama hii ya "kuku wa kienyeji"..!!!
BACK TANGANYIKA
London mtu anayeheshimiwa zaidi ni Queen Elizabeth na Wayne Rooney
Wengi hawajakuelewa hapa, ni kwamba njia za magari zao hawakuziita ROAD....waliziita lanes,streets etc.5. Hadi mwaka 1994 hakukua na barabara yoyote kwenye Jiji hili na hata sasa kuna barabara moja tu Goswel Road ingawa kuna vichochoro vingi sana vya waendao kwa miguu na njia za umma hazikuitwa barabara hadi mnamo karne ya 16
tupe vionjo
Mi ni mwenyeji wa huu mji na sijawahi kusikia hiyo sehemu ndio maana nashangaa,labda aseme inaitwaje au ipo wapi!ndiyo chanzo cha majuu kuitwa mtoni.
wala huhitaji hata kujua sehemu unahitaji tu kujua context za norms, si aghalabu sana kwa capitalist countries kua na greetings norms kama socialist na hii wala si huko hata baadhi ya nchi kama SA ukienda unachagua sana wa kusalimia kwani nimeishi pia hukoDuh,kuna sehemu huruhusiwi kusalimia watu!sijawahi kusikia hebu tutajie hizo sehemu.
Kama hupendi vurugu za London city toka nje ya mji kidogo Blue Water ,Kent au Lakeside, Essex.Napendelea shopping za Oxford Street na Westfrield Stratford. Mji wenu uko busy sana.