Lijue Jiji la London

mkuu tupe zaidi maana hii niliipenda sana
 
London mtu anayeheshimiwa zaidi ni Queen Elizabeth na Wayne Rooney

Kuna mitaa huruhusiwii kumsalimia mtu yoyote hata unayemjua ni unapita kimya kimya

Mkienda mahali na marafiki kunywa hairuhusiwi mtu mmoja kulipia Bill yote yaan Bill ikija ile pesa ni lazima igawanywe kwa jumla ya namba ya wote kila mtu alipe sawa hata kama wewe ulikunywa maji mwenzako akanywa wine!
 
View attachment 353835 Mamia ya wakazi wa Jiji hilo wamepinga mabango yaliyoandikwa kweye mabasi ya mwendo kasi ya Jiji hilo kama yanavyoonekana pichani
Ingekuwa imeandikwa Jesus is my lord ingekuwa sawa au sio?
Kama vile NHC na TFDA kumdhamini matamasha ya kanisa ni sawa ila ingekuwa Dr Dau kapeleka hata majamvi madrasa ingekuwa Ndio habari au sio?
 
hao wanajipambanua kama taifa la ukristo tangu kale
Ingekuwa imeandikwa Jesus is my lord ingekuwa sawa au sio?
Kama vile NHC na TFDA kumdhamini matamasha ya kanisa ni sawa ila ingekuwa Dr Dau kapeleka hata majamvi madrasa ingekuwa Ndio habari au sio?
 
lakini pia ukumbuke harakati zimeanza baa
Ingekuwa imeandikwa Jesus is my lord ingekuwa sawa au sio?
Kama vile NHC na TFDA kumdhamini matamasha ya kanisa ni sawa ila ingekuwa Dr Dau kapeleka hata majamvi madrasa ingekuwa Ndio habari au sio?
da ya kuchaguliwa Meya Muislamu
 

Well said, lakini masahihisho kidogo hasa kuhusu viwanja vya ndege: Kiwanja kinacho ongoza kwa ukubwa na capacity ya abiria wanao shuka na kupanda kipo Marekani i.e Hartfield Jackson Atlanta International, cha pili kipo China mji wa Beijing, cha tatu ni Dubai oh yes Dubai imekwisha ipiku Heathrow, cha nne ndiyo inakuja Heathrow International Airport.

Kitu kingine, sehemu ya London inayo tembelewa/vuta watalii wengi ni Jumba la Queen i.e Buckingham Palace na kuangalia mbwembwe za askali wanapo kabidhiana/badirishana zamu ya ulizi, cha pili katika mvuto wa watalii ni The British Museum, inayo fuata katika mvuto ndiyo hiyo the Tower of London and Tower Bridge.

Mengi uliyo sema yana ukweli lakini ili la watu kutosalimiana kwenye mitaa fulani sikuwahi kulishuhudia mimi, labda kama ritual hiyo inakuwa practiced na wenyeji wa inner na outer London.
 
asante saaaaaaaaaaaaaaaaana kuongeza vidokezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…