Lijuakali: Ndege moja tayari hairuki ni mbovu sababu ya one man show

Acha kupotosha umma
Si vyema kusema mambo usiyekuwa na uhakika nayo
Air Tanzania kwa sasa wana ndege 3
Iliyoaribika kwa sasa ni ile ndege ya zamani
Sio zile Bombidier 2 zilizo nunuliwa na serikali ya mh Magufuli
....Kwa hiyo tukuamini wewe au mbunge ambaye ana access na information kama hizo kupitia kamati zao?
 
Mbona Kawaida chombo cha moto Kupata technical/mechanical problem

Yeye amejuaje kuwa ni Mbovu? Wakati hana Elimu ya Aircraft Engineering
Kwani gari la biashara likipaki juu ya mawe unahitaji elimu gani kujua kuwa ni bovu?
 
Let be serious, watz tunataka kuendesha ndege kama tunavyiendesha magati ywtu used, haiwezekani.

Hata gari kila kifa kina mileage ya kuwa kwenye gari, sasa ndege mnataka iruke tu mpaka lini, tuwe na subira na kuheshimu taaluma za watu, ingekuwa grounded kwa kufa hapo sawa, ipo grounded kwa matengenezo madogo madogo mnapiga kelele, na kelele zinakuja kwa sababu ya uchache wa ndege, ngoja magu aongeze ndege muache kelele.

Halafu hizo ndwge haendeshi Magu, mtamlaumu vipi kwa hilo, let us be serious jamani
 
  • Akihojiwa na blog ya muuñgwana kuhusu hali nzima ya makinikia na hatua alizochukua rais kuongea na wezi ikiwa ni tofauti na wezi wengine wanaopigwa mawe na kufungwa.
Azidi kushangaa kumpongeza rais kwa kazi aliyoanza badala ya kusubili amalize kazi na kusema alitarajia aseme flani na flani wahojiwe juu ya mikataba huu ni kudhihirisha hii muvi ndo efika mwisho.

Na kaenda mbali zaidi na kusema rais alipata wapi mamlaka ya kuchukua fedha na kununua ndege kinyume na sheria? Je ccm walio wengi wana haki ya kuhoji matumizi hayo yalio nje na mpango wa bunge?

Je unajua moja ya ndege hizo ni mbovu na imepaki haifanyi kazi? Na tulisema kanunua mitumba?
Dah
 
barafu please njoo uweke sawa hapa
 
Huyu ni mbunge. Je angekuwa bibi yangu kule kijijini?
 
Mbona Kawaida chombo cha moto Kupata technical/mechanical problem

Yeye amejuaje kuwa ni Mbovu? Wakati hana Elimu ya Aircraft Engineering
sasa kama chombo ambacho hakina hata umri wa mwaka mmoja kinapata mechanical problem, sasa itakuwaje kitakapokuwa na umri wa miaka mitano?! Hapa tukubali tu kuwa tumeuziwa vimeo.
 
Mbona Kawaida chombo cha moto Kupata technical/mechanical problem

Yeye amejuaje kuwa ni Mbovu? Wakati hana Elimu ya Aircraft Engineering
1) "Nikawaida vyombo vya moto kupata technical /mechanical problem"
2)" Amejuaje kuwa ni mbovu"
Self contradictory and expression of absurdity
 
  • Akihojiwa na blog ya muuñgwana kuhusu hali nzima ya makinikia na hatua alizochukua rais kuongea na wezi ikiwa ni tofauti na wezi wengine wanaopigwa mawe na kufungwa.
Azidi kushangaa kumpongeza rais kwa kazi aliyoanza badala ya kusubili amalize kazi na kusema alitarajia aseme flani na flani wahojiwe juu ya mikataba huu ni kudhihirisha hii muvi ndo efika mwisho.

Na kaenda mbali zaidi na kusema rais alipata wapi mamlaka ya kuchukua fedha na kununua ndege kinyume na sheria? Je ccm walio wengi wana haki ya kuhoji matumizi hayo yalio nje na mpango wa bunge?

Je unajua moja ya ndege hizo ni mbovu na imepaki haifanyi kazi? Na tulisema kanunua mitumba?
Who is lijualijaki. Mimi namchukulia kama MTU mjinga tu. Anadandia hoja. Hawezi kuwa na akili timamu
 
Back
Top Bottom