Lijuakali: Ndege moja tayari hairuki ni mbovu sababu ya one man show

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
  • Akihojiwa na blog ya muuñgwana kuhusu hali nzima ya makinikia na hatua alizochukua rais kuongea na wezi ikiwa ni tofauti na wezi wengine wanaopigwa mawe na kufungwa.
Azidi kushangaa kumpongeza rais kwa kazi aliyoanza badala ya kusubili amalize kazi na kusema alitarajia aseme flani na flani wahojiwe juu ya mikataba huu ni kudhihirisha hii muvi ndo efika mwisho.

Na kaenda mbali zaidi na kusema rais alipata wapi mamlaka ya kuchukua fedha na kununua ndege kinyume na sheria? Je ccm walio wengi wana haki ya kuhoji matumizi hayo yalio nje na mpango wa bunge?

Je unajua moja ya ndege hizo ni mbovu na imepaki haifanyi kazi? Na tulisema kanunua mitumba?
 
Atafukuzwa Bungeni ili ashughulikiewe!. Yeye anahoji kama nani? Kazi yake ni kutuombea tu na kuonyesha uzalendo wakati tunatafuta fwedhaaaa!. Habari za fwedhaaa hizo zinafanya nini kwa ajili ya anani sijui nani kashiriki kununua nini HAYAMUSU. Kutuhoji ni kutujaribu!. Akifukuzwa bungeni sisi huku tutamshughulikia bila huruma kabisa!. Hatuajiribiwi sisi!.

Na kaiendeleea tutawaambia wajumbe wetu kule wamfukuze akione cha moto!. Hawa watu hawaaminiki. Wanaaminika tu katika kutuombea, lakini masuala mengine ya maendeleo ni "ADUI".!. Siyo wenzetu hwa wanaohojoi hoji mitindo yetu!
 
  • Akihojiwa na blog ya muuñgwana kuhusu hali nzima ya makinikia na hatua alizochukua rais kuongea na wezi ikiwa ni tofauti na wezi wengine wanaopigwa mawe na kufungwa.
Azidi kushangaa kumpongeza rais kwa kazi aliyoanza badala ya kusubili amalize kazi na kusema alitarajia aseme flani na flani wahojiwe juu ya mikataba huu ni kudhihirisha hii muvi ndo efika mwisho.

Na kaenda mbali zaidi na kusema rais alipata wapi mamlaka ya kuchukua fedha na kununua ndege kinyume na sheria? Je ccm walio wengi wana haki ya kuhoji matumizi hayo yalio nje na mpango wa bunge?

Je unajua moja ya ndege hizo ni mbovu na imepaki haifanyi kazi? Na tulisema kanunua mitumba?

Acha kupotosha umma
Si vyema kusema mambo usiyekuwa na uhakika nayo
Air Tanzania kwa sasa wana ndege 3
Iliyoaribika kwa sasa ni ile ndege ya zamani
Sio zile Bombidier 2 zilizo nunuliwa na serikali ya mh Magufuli
 
Meli vipi. Hili chama langu nashindwa namna ya kulitetea lakini kutetea uozo ni ngumu sana labda ujitoe akili. Sasa kuendana na umri nilionao ni vigumu sana hongereni mnaoweza kujitoa akili
 
hata binadamu akizaliwa leo anaweza kuugua baada ya siku kadhaa sembuse ndege?

Hivi hawa wapinzani wa Tanzania wana matatizo gani ?

kwani tangazo la ATCL kuhusu hii ndege hawakulisoma au? Mbona gari yake huwa anaipeleka service kila wakati why ndege?
Wewe ndo hujui usemalo! Kimsingi manunuzi yanatakiwa yawe wazi kwa bunge na si rais kujichukulia maamuzi bila kushirikisha bunge wewe huoni kama kuna maamuzi Rais hufanya kibabe bila ushauri wa wote!! TAKE TIME TO THINK IT IS A SOURCE OF POWER!.
 
  • Akihojiwa na blog ya muuñgwana kuhusu hali nzima ya makinikia na hatua alizochukua rais kuongea na wezi ikiwa ni tofauti na wezi wengine wanaopigwa mawe na kufungwa.
Azidi kushangaa kumpongeza rais kwa kazi aliyoanza badala ya kusubili amalize kazi na kusema alitarajia aseme flani na flani wahojiwe juu ya mikataba huu ni kudhihirisha hii muvi ndo efika mwisho.

Na kaenda mbali zaidi na kusema rais alipata wapi mamlaka ya kuchukua fedha na kununua ndege kinyume na sheria? Je ccm walio wengi wana haki ya kuhoji matumizi hayo yalio nje na mpango wa bunge?

Je unajua moja ya ndege hizo ni mbovu na imepaki haifanyi kazi? Na tulisema kanunua mitumba?
Nyie chadema nyie mwaka huu mtapasuka sana. Ndege mbovu siye zile bombardier Bali ni ile ya zamani na mlurugenzi imetoa ufafanuzi Jana. Yaani imebaki ni kuokoteza tu matukio hoja Hanna Teena. Mwambieni slaa aje kuwasaidia vinginevyo naona 2020 mkiweza kushinda ubunge watu 10 mmushuru mungu.
 
Kwanini upinzani mnaona kila jambo ni kupinga tu? Why harbor such vitriol and negativity? Kwani ndege kuharibika ni kitu cha ajabu?

Chombo chochote huharibika na kutengenezwa. Mnapopinga kila kitu ili mradi tu mmepinga mnatusikitisha hata sie ambao huwa kuna wakati tuna-support hoja zenu.

Wekeni u-Taifa mbele na sio kupinga kila kitu Mheshimiwa Rais anachofanya. Kuna mambo ambayo wengi hatumuungi mkono lakini kumtafuta uchawi kwa kila jambo si busara.

Hii nchi ni yetu wote. Let us all play our parts to be proactive and constructive even in our criticism. Badilikeni.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom