Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
- Akihojiwa na blog ya muuñgwana kuhusu hali nzima ya makinikia na hatua alizochukua rais kuongea na wezi ikiwa ni tofauti na wezi wengine wanaopigwa mawe na kufungwa.
Na kaenda mbali zaidi na kusema rais alipata wapi mamlaka ya kuchukua fedha na kununua ndege kinyume na sheria? Je ccm walio wengi wana haki ya kuhoji matumizi hayo yalio nje na mpango wa bunge?
Je unajua moja ya ndege hizo ni mbovu na imepaki haifanyi kazi? Na tulisema kanunua mitumba?