Ligwaride linapomchosha Mke........

Ligwaride linapomchosha Mke........

Wapenzi wa jukwaa la MMU nimeitwa kwenye kikao cha usuluishi.Jirani na Rafiki yangu wa karibu sana walikuwa na mgogoro wa muda mrefu katika ndoa yao mara kadhaa vikao vya usuluishi vimefanyka bila kupatikana suluhisho la kudumu.Tatizo nililokuwa nikilijua ni tabia ya Rafiki yangu kuzaa na wanawake tofauti tofauti,tayari alikuwa na watoto wanne kwa wamama tofauti.

Nilipoitwa kwenye kikao nilijua hili suala la kuzaa hovyo hovyo lingechukua nafasi kubwa,lakini mambo niliyokutana nayo kwa kweli yalikuwa si ya kawaida.

Mke anadai tatizo la mume kuzaa nje ya ndoa si muhimu kwake wala halimpi taabu,kwanza alishamruhusu baada ya kuchoshwa na tabia yake ya kupenda kunako mchezo wa 6 x 6 kila mara bila kuchoka.Mwanzo wa ndoa yao alidhani labda ni ugeni na kutokuzoeana (baada ya kupewa ushauri na wanawake wazoefu) lakini hali hiyo iliendelea hadi kugeuka kero.Jamaa akirudi nyumba akimkuta wife anaongea na wanawake wenzake umwita kwa hasira utadhani kuna jambo muhimu anataka kumweleza akiingia mlangoni anakumta jamaa keshavua nguo ....... Akiwa anapika jamaa liko jikoni haliwazi ugali wala mboga linauliza kwa hasira hiyo biashara ya kupika itamalizika saa ngapi !.

Naomba wenye uzoefu wa haya maswala ya 6 x 6 hasa upande wa kina Dada,je hii tabia tunaweza kusema ni kero au starehe.

Avumilie tu. Ndio ndoa yenyewe hiyo. Kwani wakati analipiwa mahari alidhani anakwenda kuimba kwaya? Ukishalipiwa mahari inabidi ujue shughuli kuu ni ngono kwenda mbele. Kama hawezi kuvumilia basi aombe talaka.

yaani huyo nikipewa mimi, wala sitasubiri kikao cha shangazi wala balaza la Walei.......
hicho ni kifo sasa....
mwulize Himidini hapa kuna kuombea tendo kweli? au hapa sala ya kuomba nguvu zipungue ndo itahusika?

yani Fp kabisa hilo ni janga kabisa maana unaweza shindwa hata kutembea kisa...loh, hiyo ni spirit kabisa au inawezekana alienda kwa watoa dawa ya kuongeza nguvu za kiume sasa zimemshinda. hapana aisee pole kwa huyo dada.
 
Hadi wafikie kuoana huyo dada alikua hajamshtukia?

Ukisoma maelezo, it seems mwolewaji alijua ni suala la mpito tu, akikua ataacha, lkn naona tatizo limeendelea. Nadhani mume anahitaji ushauri nasaha
 
MWenzio alidhani ugeni!!!
Ukisoma maelezo, it seems mwolewaji alijua ni suala la mpito tu, akikua ataacha, lkn naona tatizo limeendelea. Nadhani mume anahitaji ushauri nasaha
I am always amazed by people who rush into mariage thinking they will change their partners once in. Hajui partner wake nae alisema: for once that I have someone who likes me AS I AM ngoja tuoane. sasa wakifika huko mbele huyu anataka mwenzie abadilike, na yule anamshangaa mwenzie mbona alinipenda nikiwa hivi?
Hapo anae takiwa ku-adapt ni mke maana she knew about her husband sexual apetite toka mwanzo.
 
Mwa mwa mwa Mwali...umeongea point kuliko siku zote!

😛ainkiller:
 
Last edited by a moderator:
yani Fp kabisa hilo ni janga kabisa maana unaweza shindwa hata kutembea kisa...loh, hiyo ni spirit kabisa au inawezekana alienda kwa watoa dawa ya kuongeza nguvu za kiume sasa zimemshinda. hapana aisee pole kwa huyo dada.
ha haaa, mambo ya ku-over dose, lol!
 
Si ajabu, inaonekana jamaa anamfeel sana mke wake au ki ufupi huyo mke ni mtamu sana na K yake iko mnato sana, km ingekuwa bwawa au mdebwedo jamaa angekuwa hana hata hamu nayo kwa kiasi hicho. Ki ujumla ukiikuta K tamu kila saa wataka uipige tu, mi mwenyewe ishanitokea kwa ishu fulani hivi sema hakuwa mke alikuwa GF ilikuwa sipepesi macho ila kwa wengine akaa, si kivile.
 
Pole sana Mkuu.

Kwakua MWENZA sio GARI, tungeweza kukagua vingi.
Ila kwakua wewe ndo unaweza kupima kiasi unacho hitaji ili isiwe kero, maana
kuna ambao kero kwako, kwao wana burudanika.
Kama una ridhia, uwezo na Dini vina ruhusu, mruhusu aoe usije kongoroka bureeeeee.
 
Si ajabu, inaonekana jamaa anamfeel sana mke wake au ki ufupi huyo mke ni mtamu sana na K yake iko mnato sana, km ingekuwa bwawa au mdebwedo jamaa angekuwa hana hata hamu nayo kwa kiasi hicho. Ki ujumla ukiikuta K tamu kila saa wataka uipige tu, mi mwenyewe ishanitokea kwa ishu fulani hivi sema hakuwa mke alikuwa GF ilikuwa sipepesi macho ila kwa wengine akaa, si kivile.
huyo ana matatizo sio swala la utamu wala mnato maana kama angekuwa anamfeel mkewe pekee hao watoto wanne nje wa mama tofauti wasingekuepo inaonyesha huyo jamaa kazi yake ni hiyo tu...
 
kiwango wapi huku unamuumiza mwenzio? kulingana na imani yako inaruhusu wake wanne, ila imani yangu inasema kila jambo kwa kiasi na mke mmoja na mume mmoja, na kila mtu na awe na mke wake mwenyewe sio wake zake mwenyewe. ni pepo la ngono hilo kabisa kulingana na imani yangu . yani ni roho chafu ya kukemea kabisa.
Unasemaje kuhusu simba wa Yuda mfalme Daud na wakeze 600? au mwanae Suleimani? Nao walikuwa na mapepo ya ngono au vipi na ni nani mwingine mbali ya Yesu aliyekipenzi cha mungu zaidi ya Daud? mbona Yesu mwenyewe anajitapa ni mwana wa Daud au ndio na yeye kazaliwa kwa njia za hayo hayo mapepo ya ngono? biblia inasomwa katika ujumla wake sio kudandia mstari mmoja mmoja; hivi kuna nabii mwingine aliyejua sheria kuliko Mussa? mbona ndiye alitoa idhini hiyo? na je Yesu alimtengua Mus
sa? achana na fikra duni hakuna cha imani bali kuna neno pekee kwa kuwa hilo ndilo

liwezalo kumuweka mtu huru.
 
but huo lazima ni ugonjwa kama si wa kisaikolojia wa kimaumbile. hapo ndiyo Eiyer atasema huyo mwanamke hawajibiki ndiyo maana mume wake anazaa nje!
 
jamaa mbinafsi sana akifika anadandia kama daladala hakuna maandalizi kwa mwanamke inakuwa kero angekuwa na maandalizi hayo yasingefika hapo
 
Duh Blaki Womani ha ha ha kumbe wewe ukiandaliwa unapiga mzigo.

jamaa mbinafsi sana akifika anadandia kama daladala hakuna maandalizi kwa mwanamke inakuwa kero angekuwa na maandalizi hayo yasingefika hapo
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka kwel ila nimekumbuka tukio moja
kuna kijana wa umri wangu huko kijijin alioa na akawa ndo zake gemu kila mda
yule dada alisema kwa mama mkwe wake na wakaitwa wamama wakubwa wakamwambia bint hiyo hal itapungu jins mnavyokaa kwa sasa ugen unamsumbua.
Ila cha kushangaza mziki uleule kila siku.
Yule dada kuona hivyo akatoroka na kurud kwao na kukataa katakata kurudi kwa mme wake

mutahappy sasa wadada wanapoambiwa wanaolewa wao wanadhan wanaenda kufanyaje kwa mume???
 
Last edited by a moderator:
Unasemaje kuhusu simba wa Yuda mfalme Daud na wakeze 600? au mwanae Suleimani? Nao walikuwa na mapepo ya ngono au vipi na ni nani mwingine mbali ya Yesu aliyekipenzi cha mungu zaidi ya Daud? mbona Yesu mwenyewe anajitapa ni mwana wa Daud au ndio na yeye kazaliwa kwa njia za hayo hayo mapepo ya ngono? biblia inasomwa katika ujumla wake sio kudandia mstari mmoja mmoja; hivi kuna nabii mwingine aliyejua sheria kuliko Mussa? mbona ndiye alitoa idhini hiyo? na je Yesu alimtengua Mus
sa? achana na fikra duni hakuna cha imani bali kuna neno pekee kwa kuwa hilo ndilo

liwezalo kumuweka mtu huru.

unajua wanadamu wanpenda sana kutumia maandiko kujuftify dhambi, kaa ukijua kwamba dhambi itabaki kuwa dhambi kama mbele za Mungu inaitwa dhambi na hakuna anayeweza kulibadilisha neno la Mungu kwa matamanio yake.

kama maisha ya wanadamu yalimpendeza Mungu kabla ya kuja kwa Yesu basi hapakuwa na maana yoyote ya kuja kwa Yesu wala kutumwa kuja kuukomboa ulimwengu, kumbuka hao wote unaowataja kwa dhambi zao wote Mungu aliwapa adhabu zilizowastahili, solomon alikuwa amjengee Mungu hekalu lakini hilo halikutimia, vp Samson kwa Delila? yooote hayo yameandikwa ili kutufundisha sisi, haimaanishi makosa yao kwa kuwa Mungu aliwatumia basi ndo tuhalalishe dhambi zao kutokuwa dhambi dunia ya leo. tunaishi maisha baada ya Kristo na sio kabla ya Kristo. ndo maana tumeambiwa Yesu ndio njia, kweli, na uzima na mtu haji kwa baba (Mungu) ila kwa mimi. tayari alishasema yy ni njia na ni kweli.

kama Maisha waliishi watu kabla ya kuja kwa Yesu yalimpendeza Mungu basi hapakuwa na maana ya Mungu kumtuma Yesu aje kuukomboa ulimwengu. it was all wrong ndo maana Yesu alikuja kutuonyesha njia na ndo maana lipoulizwa allisema Musa aliwaruhusu kwa ajili ya ugumu wa mioyo yenu lakini mimi nawaambia ... he showed us the true way.

usitumie maandiko kuhalalisha dhambi maana haitabadilisha dhambi kuwa sio dhambi, dhambi ni dhambi tu.

"nanyi mtaijua kweli na hiyo kweli itawaweka huru. full stop."
 
Back
Top Bottom