Ligi Kuu ya Uingereza(Barclays EPL) ndani ya king'amuzi cha HD Sports Channels

mwaka unaofuata unalipia subscription pekee...ambayo haizidi Shs. laki moja na nusu
 
hapo kwenye blue, kuna mtu amsema anayo lakini hupati champions league, (KUWA MKWELI)

Hapo kwenye nyekundu sijaelewa,

Huyu jamaa yanawekana hata hk kingamuzi hakijui vizur...waarab wapi na wapi wakaangalia UEFA kwao ni km wanapromote pombe(HEINKEN) au bado hajui ni kwanini Man City wanaborongo UEFA?...Hapo juu angeliongeze WWE(live) tungelimuelewa sana!..
 
jsc unapata channel 3 kwa dish la ft 4. ila ukiweka dish la futi nane unakamua kwelikweli, japo jsc 1, na jsc2 ni za kwao hivyo wamezi-regionalize..kwa ufupi hupati jsc 1 na jsc 2 hapa tz kwa sababu ya mfumo wa Sat

unamaanisha ata ukiwa na dish la futi8 jsc2 na jsc1 zitashindikana kupatikana?
 
Huyu jamaa yanawekana hata hk kingamuzi hakijui vizur...waarab wapi na wapi wakaangalia UEFA kwao ni km wanapromote pombe(HEINKEN) au bado hajui ni kwanini Man City wanaborongo UEFA?...Hapo juu angeliongeze WWE(live) tungelimuelewa sana!..

we unajua henken inapotengenezewa wewe
 
Bei pamoja na Premium Subscription ya 1yr ni Shs.650,000. Dish, LnB, Cables na kufungiwa kwa hapa Dar ni Shs. 200,000. Jumla kuu ni Shs. Laki nane na nusu

Channels maarufu kwa harakaharaka ni: BBC World, SkyNews, CNN, Al Jazeera, Bloomberg, EuroNews, CCTV, National Geographic, Fox Series, Fox Movie. Watoto: Al Jazeera Children na Disney, OSN Food Network, Life,. SPORTS: AD Sports 1-9 (FULL EPL), EURO, AFCON, Champions League SPORTS/ CHAMPIONS:Al Jazeera Sports 3-9,JSC Sports, Modern Sports, na ESPN. MUSIC videos: MTV na FM; nk.

Ukihitaji Local Tanzania channels, unaweza kuzipata kwa kutumia king'amuzi hiki pia; ila utaongeza Dish moja la ft 6.

mtatuua jamani!
 
... $$ ££ €€ .. ???????,?????????¡¡¡¡¡¿¿¿¿¿¿¿````\|xxxxxx
 
Back
Top Bottom