Andre02150
JF-Expert Member
- Feb 2, 2010
- 332
- 128
- Thread starter
- #41
mwaka unaofuata unalipia subscription pekee...ambayo haizidi Shs. laki moja na nusu
hapo kwenye blue, kuna mtu amsema anayo lakini hupati champions league, (KUWA MKWELI)
Hapo kwenye nyekundu sijaelewa,
jsc unapata channel 3 kwa dish la ft 4. ila ukiweka dish la futi nane unakamua kwelikweli, japo jsc 1, na jsc2 ni za kwao hivyo wamezi-regionalize..kwa ufupi hupati jsc 1 na jsc 2 hapa tz kwa sababu ya mfumo wa Sat
Huyu jamaa yanawekana hata hk kingamuzi hakijui vizur...waarab wapi na wapi wakaangalia UEFA kwao ni km wanapromote pombe(HEINKEN) au bado hajui ni kwanini Man City wanaborongo UEFA?...Hapo juu angeliongeze WWE(live) tungelimuelewa sana!..
Bei pamoja na Premium Subscription ya 1yr ni Shs.650,000. Dish, LnB, Cables na kufungiwa kwa hapa Dar ni Shs. 200,000. Jumla kuu ni Shs. Laki nane na nusu
Channels maarufu kwa harakaharaka ni: BBC World, SkyNews, CNN, Al Jazeera, Bloomberg, EuroNews, CCTV, National Geographic, Fox Series, Fox Movie. Watoto: Al Jazeera Children na Disney, OSN Food Network, Life,. SPORTS: AD Sports 1-9 (FULL EPL), EURO, AFCON, Champions League SPORTS/ CHAMPIONS:Al Jazeera Sports 3-9,JSC Sports, Modern Sports, na ESPN. MUSIC videos: MTV na FM; nk.
Ukihitaji Local Tanzania channels, unaweza kuzipata kwa kutumia king'amuzi hiki pia; ila utaongeza Dish moja la ft 6.
mtatuua jamani!
Katoka nduki, UEFA unaipaje mbona husemi?