Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Phiri%201%2826%29.jpg
 
Timu zinaingia uwanjani hapa Nangwanda...
 
Mpira unaanza hapa Nangwanda Mtwara, kila la kheir ndanda fc....Mtwara kuchele
 
Goooooool, hapana mpira unagonga post hapa Nangwanda, azam chupuchupu
 
goooooool, nangwanda azam wanapakatwa na ndanda fc..ndanda 1-0 azam
 
Kutoka Mtwara Azam amepigwa kimoja, mfungaji Bwana Massawe
 
Back
Top Bottom