Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

Mnadaiwa 10m ya goli lililozidi
Muda mwingine unaweza ukadhani kuwa umeponda kumbe umesifia


Kwa bandiko lako hapo juu linamaanisha kuwa ndanda alijua atafungwa goli si chini ya tano hivyo basi ili kukwepa aibu ikabidi watoe hongo ili wasifungwe goli zaidi ya tatu matokeo yake watu hela wamechukua na makubaliano wakavunja (wameshinda goli zaidi ta tatu )



So be careful unapotaka kukandia uwe unakandia huku ukitumia akili kufikiri na sio makalio
 
Hivi vyura kama kweli nyinyi ni bora si tuone tofauti.Mpira gani pale,winga zinapita bila marking yeyote? Kina omary mponda huko mbele walisimama tu kama hawapo.Ndanda is Young and the like.Na kwa jinsi hii mtapigwa sana kimataifa.
 
Ha ha ha.... namna gani hapa Zulu anajipiga chenga mwenyewe na mpira unakataa...bila shaka pesa imeenda bure hapa
Hata BOSSOU naye pesa ilienda Bure.... Baada ya mechi kadhaa ikaonekana pesa nayo ililipa nauli (kuwa haikuenda bure)...
 
Hata BOSSOU naye pesa ilienda Bure.... Baada ya mechi kadhaa ikaonekana pesa nayo ililipa nauli (kuwa haikuenda bure)...
Heeh.. Umeibuka, naona unaendelea na mipango yako nje ya uwanja

Umemleta mkata maji...! anaruka ruka tu haeleweki
 
Back
Top Bottom