Life is good and very precious

Binti Mrembo mwenye maringo lol!




mkuu BAK haka katoto FP kamenitoa nishai, sitaki hata kukasikia, sijui kanatokea Kigoma?
ona kalivyoharibu usafiri wangu....
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha lol! Aisee umenichekesha sana hahahahah lol! Rafiki yangu FP utamfanya awe na tumbo joto lol!
mkuu kama sio juhudi binafsi na uzoefu wa mambo ya angani saiz msingesikia jina la zumbemkuu tajiri mkubwa kuliko wagosi wote Tanga, anyway, naelekea visiwa vya shelisheli nimepata lift toka kwa jirani yangu naenda kutafuta spare...
 
Good luck Mkuu lakini FP alishakwambia kaaga kwao hivyo spare pia inaweza ikamong'onyoka lol! Chezeya FP weye!


mkuu kama sio juhudi binafsi na uzoefu wa mambo ya angani saiz msingesikia jina la zumbemkuu tajiri mkubwa kuliko wagosi wote Tanga, anyway, naelekea visiwa vya shelisheli nimepata lift toka kwa jirani yangu naenda kutafuta spare...
 
Last edited by a moderator:
Rafiki yule zumbemkuu ni aje? hahahahah lol! kuna tetesi kila akikuchungulia kwenye mtungi basi mtungi hulia PAA! hahahah lol! umepasuka!!!! kuna tetesi mitungi yake mitano imepasuka lol!


mkuu BAK haka katoto FP kamenitoa nishai, sitaki hata kukasikia, sijui kanatokea Kigoma?
ona kalivyoharibu usafiri wangu....
Ha haaa, rafiki BAK umeona yaliyomkuta Huyu zumbemkuu ? Mimi nilimu-warn lakini hakusikia, lol!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
BAK nashukuru sana kaka yangu wa moyoni kwa salam za upendo.

barikiwa sana sana na wewe pi uwe na siku njema sana.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
QUOTE=BAK;5647969]Binti Mrembo mwenye maringo lol!


[/QUOTE]

Ha haaa, rafiki una kumbukumbu sana, lol!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
mkuu kama sio juhudi binafsi na uzoefu wa mambo ya angani saiz msingesikia jina la zumbemkuu tajiri mkubwa kuliko wagosi wote Tanga, anyway, naelekea visiwa vya shelisheli nimepata lift toka kwa jirani yangu naenda kutafuta spare...

zumbemkuu nilishakuambia mimi nimeaga kwetu, ukiendelea ujue hata panya hawatasalia kwenye nyumba yako, sirogeki mimi, unapoteza muda na hela zako bure kutafuta spare, ha haaaa.
Salama lakini? Pole sana kwa ajali....
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Good luck Mkuu lakini FP alishakwambia kaaga kwao hivyo spare pia inaweza ikamong'onyoka lol! Chezeya FP weye!

Rafiki yangu BAK tatizo la huyu rafiki zumbemkuu hata hajua kirefu ya @fp, kwa kuanzia angejua hilo tu ingemsaidia kumkatia tamaa @fp
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
mimi mzima, Mungu anasaidia. sikuiona avatar yako kitambo nkadhani umeamia fesibuku

Sikuwa fesibuku wala wapi, mizunguluko tu ilikaba kidogo nikajikuta siku zinakatika siioni JF.
 
Reactions: BAK
BAK umemisikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaje! lol!vibaya hvioooooo!
NIMEKUNUNIA!
 
Last edited by a moderator:
Nani kanuna!? Teja limenuna lol! hahahahahah usinune banaa! Vibaya hivyo snowhite! BAK pia alikumissssssss sana tu :majani7:




BAK umemisikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaje! lol!vibaya hvioooooo!
NIMEKUNUNIA!
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhh! :behindsofa:


Sikuwa fesibuku wala wapi, mizunguluko tu ilikaba kidogo nikajikuta siku zinakatika siioni JF.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol! FP siyo!?...kwa hisani ya watu wa Mfaranyaki na Ohio state :yo::yo::yo:



Rafiki yangu BAK tatizo la huyu rafiki zumbemkuu hata hajui kirefu ya FP, kwa kuanzia angejua hilo tu ingemsaidia kumkatisha tamaa FP
 
Last edited by a moderator:
BAK umemisikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaje! lol!vibaya hvioooooo!
NIMEKUNUNIA!
mlongo wangu vipi tena kumnunia member wako wa uteja?
namwombea msamaha bwana, usimnunie rafiki yetu huyu. au tumeghaili kumrudisha mfaranyaki? wakati mimi hadi lindeku nimeshakodi, lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…