Lifahamu Gugu chawi

Lifahamu Gugu chawi

Ukiacha Tabia yake ya kushambulia mimea, je matatizo gani mengine ya kiafya yanàyoweza kumpata mkulima kwa kuwepo guguchawii shambani kwake?
 
Gugu Chawiiiii
secretlife.jpg
 
Ukiacha Tabia yake ya kushambulia mimea, je matatizo gani mengine ya kiafya yanàyoweza kumpata mkulima kwa kuwepo kwa guguchawii shambani kwake?
Hakuna zaidi ya kuingia hasara
 
Mkuu mumea huo hauna nguvu ya kipekee ya kufanyia mambo ya kipekee.Kama mtu akiutumia analewa Na Hivi kuongea asivyovijua basi Ni dhahiri una chemical substance ambayo inaathiri mfumo wa fahamu kama kemikali zingine tu za kumpatia mtu usingizi wakati kwa mfano kwenye medical operations na sio Vinginevyo.Tunaendelea kusisitiza Hakuna uchawi kama nguvu za kipekee za kufanyia mambo ya kipekee.Nguvu hizo zingekuwepo Trump angekuja kuazima utaalamu huo ili akamumalize Kim Jong-un kimya kimya Na tena Kwa gharama kidogo tu.

QUOTE="mshana jr, post: 21115835, member: 98741"]Hili laweza kuwa geni kwako ama la unalijua kwa jina lingine.. Hili ni tofauti kabisa na gugu maji ambalo ni maarufu kwa wengi
Hapa ni gugu chawi kiboko ya mimea jamii ya kunde mahindi na Mwele
Majina mengine ni haya hapa viduha, kakindu, kichawi dume na kidevu cha mbuzi
Huku kwa kiingereza likijulikana kama witch weed (striga hermonthia -botanical name)... Mmea huu unapatikana zaidi Africa, bara Hindi na Australia
Kwanini nimekuleeni Leo gugu chawi na maelezo marefu? Gugu chawi ni tofauti na magugu mengine ambayo huzonga tu mimea. Gugu chawi lenyewe hupenyeza mizizi yake kwenye mimea tajwa hapo juu na kuifyonza chakula chote na kuufanya mmea ufe kabisa
Lakini kubwa zaidi ni kwamba gugu chawi aka purple witch weed punje zake ni hatari mno kwa wadanganyifu.. Watu wa Arusha wanalijua hili vema
Yani kama kuna jambo lina utata na mtuhumiwa hataki kunyoosha maelezo basi punje moja tu akipewa hutosha kabisa kumchanganya akili yote na kufunguka hasa.... Yani ataongea kila kitu
Lakini pia cha kushangaza mno ni kwama Mkundekunde unapendwa sana na wachawi katika shunghuli zao Lakini kiboko yake huu mmeapendwa na wachawi ni gugu chawi
Je kuna vita ya Kiroho na nguvu ya giza hata kwenye mimea? TUTAJADILI HILI SOON
BTW hatufundishani uchawi tunapanua ufahamuView attachment 509092[/QUOTE]
 
Kumbe mzungu alikufundisha Dawa ya Wachawi? Mbona wewe hujaitumia kuwakomesha ili wasiendelee kuleta "uharibifu"? Kwa nini hujapeleka proposal Kwa Serikali au vyama vya Kiraia vinavyojihusisha Na kupigania ustawi wa kijamii ili upewe funding ya kuhamasisha watu wapande hiyo mimea kwenye miji yao ili kukomesha wachawi wasijongee majumbani mwao? Hivi hujui kama kuna kundi kubwa la watanzania ukiwemo wewe wanaoamini na wanaoogopa uchawi? Kwa nini hujaona kama hii Ni fursa? Raisi Magufuli anahamasisha ujenzi wa Viwanda Hivi Kwa nini usikimbie benki hapo uchukue mkopo ufungue kiwanda uwe unazalisha hayo magugu Na kuyafanyia packaging Na kuuza hata nchi zingine za Kiafrika? Mbona soko lipo la uhakika kabisa? Mteja wa kwanza atakuwa Gwajima Na wadau wake.Nakuhakikishia hawa watanunua makopo Kwa makopo ili waende wakachanganye Na maji ya Baraka tayari Kwa " kuwapopolea" wachawi.Hivi kwa nini hutaki kuwa "Dangote" mwingine Afrika anayetokea Tanzania? Basi kama hilo haliwezekani tuache kulishana ujinga usio Na maana yoyote ile.Tumechelewa sana.Tuamke kunakuchwa sasa; nasi tazama hatujafanya lolote.Tuache stori za kunywea bia kwenye mabaa.

UOTE="LUBEDE, post: 21117042, member: 141496"]cactus mkuu!
hope mshana ataelezea vizuri,kuna jamaa yangu ni mzungu m`italiano alinipa hizo skills kuwa niupande mbele ya nyumba,wachawi kwangu watakuwa wanapaona kama kwa baba mkwe,ni kweli tangu niupande sijawahi pata bughudha yeyote kutoka kwa walozi...[/QUOTE]
 
Mkuu mumea huo hauna nguvu ya kipekee ya kufanyia mambo ya kipekee.Kama mtu akiutumia analewa Na Hivi kuongea asivyovijua basi Ni dhahiri una chemical substance ambayo inaathiri mfumo wa fahamu kama kemikali zingine tu za kumpatia mtu usingizi wakati kwa mfano kwenye medical operations na sio Vinginevyo.Tunaendelea kusisitiza Hakuna uchawi kama nguvu za kipekee za kufanyia mambo ya kipekee.Nguvu hizo zingekuwepo Trump angekuja kuazima utaalamu huo ili akamumalize Kim Jong-un kimya kimya Na tena Kwa gharama kidogo tu.

QUOTE="mshana jr, post: 21115835, member: 98741"]Hili laweza kuwa geni kwako ama la unalijua kwa jina lingine.. Hili ni tofauti kabisa na gugu maji ambalo ni maarufu kwa wengi
Hapa ni gugu chawi kiboko ya mimea jamii ya kunde mahindi na Mwele
Majina mengine ni haya hapa viduha, kakindu, kichawi dume na kidevu cha mbuzi
Huku kwa kiingereza likijulikana kama witch weed (striga hermonthia -botanical name)... Mmea huu unapatikana zaidi Africa, bara Hindi na Australia
Kwanini nimekuleeni Leo gugu chawi na maelezo marefu? Gugu chawi ni tofauti na magugu mengine ambayo huzonga tu mimea. Gugu chawi lenyewe hupenyeza mizizi yake kwenye mimea tajwa hapo juu na kuifyonza chakula chote na kuufanya mmea ufe kabisa
Lakini kubwa zaidi ni kwamba gugu chawi aka purple witch weed punje zake ni hatari mno kwa wadanganyifu.. Watu wa Arusha wanalijua hili vema
Yani kama kuna jambo lina utata na mtuhumiwa hataki kunyoosha maelezo basi punje moja tu akipewa hutosha kabisa kumchanganya akili yote na kufunguka hasa.... Yani ataongea kila kitu
Lakini pia cha kushangaza mno ni kwama Mkundekunde unapendwa sana na wachawi katika shunghuli zao Lakini kiboko yake huu mmeapendwa na wachawi ni gugu chawi
Je kuna vita ya Kiroho na nguvu ya giza hata kwenye mimea? TUTAJADILI HILI SOON
BTW hatufundishani uchawi tunapanua ufahamuView attachment 509092
[/QUOTE]
Always tafakuri nyepesi na ya jumla kwenye hoja fikirishi.... Ila kwakuwa ni mtazamo wenye kupingana na hoja kwa namna ya ufafanuzi usiokwaza haya
Kumbe mzungu alikufundisha Dawa ya Wachawi? Mbona wewe hujaitumia kuwakomesha ili wasiendelee kuleta "uharibifu"? Kwa nini hujapeleka proposal Kwa Serikali au vyama vya Kiraia vinavyojihusisha Na kupigania ustawi wa kijamii ili upewe funding ya kuhamasisha watu wapande hiyo mimea kwenye miji yao ili kukomesha wachawi wasijongee majumbani mwao? Hivi hujui kama kuna kundi kubwa la watanzania ukiwemo wewe wanaoamini na wanaoogopa uchawi? Kwa nini hujaona kama hii Ni fursa? Raisi Magufuli anahamasisha ujenzi wa Viwanda Hivi Kwa nini usikimbie benki hapo uchukue mkopo ufungue kiwanda uwe unazalisha hayo magugu Na kuyafanyia packaging Na kuuza hata nchi zingine za Kiafrika? Mbona soko lipo la uhakika kabisa? Mteja wa kwanza Na Gwajima Na wadau wake.Nakuhakikishia hawa watanunua makopo Kwa makopo ili waende wakachanganye Na maji ya Baraka tayari Kwa " kuwapopolea" wachawi.Hivi kwa nini hutaki kuwa "Dangote" mwingine Afrika anayetokea Tanzania? Basi kama hilo haliwezekani tuache kulishana ujinga usio Na maana yoyote ile.Tumechelewa sana.Tuamke kunakuchwa sasa; nasi tazama hatujafanya lolote.Tuache stori za kunywea bia kwenye mabaa.

UOTE="LUBEDE, post: 21117042, member: 141496"]cactus mkuu!
hope mshana ataelezea vizuri,kuna jamaa yangu ni mzungu m`italiano alinipa hizo skills kuwa niupande mbele ya nyumba,wachawi kwangu watakuwa wanapaona kama kwa baba mkwe,ni kweli tangu niupande sijawahi pata bughudha yeyote kutoka kwa walozi...
[/QUOTE]
4483a409cb02e90452507bdcb0c08de0.jpg
 
Always tafakuri nyepesi na ya jumla kwenye hoja fikirishi.... Ila kwakuwa ni mtazamo wenye kupingana na hoja kwa namna ya ufafanuzi usiokwaza haya
[/QUOTE][/QUOTE]

Mkuu Si nia yangu kupingana Na hoja yako fikirishi hata kidogo.Lengo langu ni kupanua mjadala huu.Lengo langu Ni kusaidia kuchimba ukweli.Lengo langu Ni kutaka tuende zaidi ya kile kinachofahamika kwa wengi.Kama mumea huo unasemekena kuwa na uwezo wa kuwafanya wahalifu waseme ukweli Kwa nini hadi leo Detectives wasiutumie katika kupata ukweli toka kwa wahalifu kiulaini bila hata wakati mwingine kutumia torture mechanisms? Nakuambia mumea huo ungekuwa na nguvu hiyo CIA wangetumia kupata ukweli kwa Magaidi wafungwa kule Guantanamo Bay badala ya vipigo na mateso mengine makubwa wanayotumia huko.Mumea huo ungekuwa Na nguvu hiyo basi Leo ingekuwa ni biashara kubwa duniani.Hivi unajua jinsi dunia inavyotumia gharama kubwa katika kupata ukweli? Hivi unaonaje Heroine Na Cocaine mziki wake? Huoni hata Shikuba amekuwa tajiri? Mimi ungeniambia tujadili kisayansi.Watu wafanye utafiti kujua ni kemikali gani iliyomo kwenye mumea huo kiasi kwamba hata ukiota mahali mimea mingine hufa isipokuwa hustawi wenyewe tu? Utafiti kama huo Unaweza pengine hata kupelekea kupata ingriedient ya chanjo ya VVU au magonjwa mengineyo.Kwa hiyo maoni yangu hayajalenga kutweza Mada yako Bali kuiboresha.
 
nimekutana na mtu anauza starfish anasema ni kinga kwa wachawi je kuna ukweli wowote

Bila hicho kibwagizo hutanunuaje sasa? Afrika ukitaka kuuza bidhaa yako waambie wateja bidhaa yako ni concode kwa kuongeza nguvu za kiume.Bidhaa yako inasaidia kuvutia wanawake au wanaume.Kwamba bidhaa yako inafukuza majini na mapepo.Kwamba bidhaa yako inasaidia kutoa majibu ya mitihani.Kwamba bidhaa yako inasaidia kukuletea pesa nyumbani ukiwa umelala tu.Kwamba bidhaa yako inazuia mtu asikuibie pesa mfukoni au kwenye Wallet.Kwamba bidhaa yako inasaidia mtu akikuibia mwanamke wako au mume wako basi wawili hao wagandamane kwenye tendo la ndoa hadi uwakute.Orodha ni ndefu kishenzi.Basi hiyo ndo marketing gimmick ya "ukweli" Kwa Afrika.
 
Always tafakuri nyepesi na ya jumla kwenye hoja fikirishi.... Ila kwakuwa ni mtazamo wenye kupingana na hoja kwa namna ya ufafanuzi usiokwaza haya
[/QUOTE]

Mkuu Si nia yangu kupingana Na hoja yako fikirishi hata kidogo.Lengo langu ni kupanua mjadala huu.Lengo langu Ni kusaidia kuchimba ukweli.Lengo langu Ni kutaka tuende zaidi ya kile kinachofahamika kwa wengi.Kama mumea huo unasemekena kuwa na uwezo wa kuwafanya wahalifu waseme ukweli Kwa nini hadi leo Detectives wasiutumie katika kupata ukweli toka kwa wahalifu kiulaini bila hata wakati mwingine kutumia torture mechanisms? Nakuambia mumea huo ungekuwa na nguvu hiyo CIA wangetumia kupata ukweli kwa Magaidi wafungwa kule Guantanamo Bay badala ya vipigo na mateso mengine makubwa wanayotumia huko.Mumea huo ungekuwa Na nguvu hiyo basi Leo ingekuwa ni biashara kubwa duniani.Hivi unajua jinsi dunia inavyotumia gharama kubwa katika kupata ukweli? Hivi unaonaje Heroine Na Cocaine mziki wake? Huoni hata Shikuba amekuwa tajiri? Mimi ungeniambia tujadili kisayansi.Watu wafanye utafiti kujua ni kemikali gani iliyomo kwenye mumea huo kiasi kwamba hata ukiota mahali mimea mingine hufa isipokuwa hustawi wenyewe tu? Utafiti kama huo Unaweza pengine hata kupelekea kupata ingriedient ya chanjo ya VVU au magonjwa mengineyo.Kwa hiyo maoni yangu hayajalenga kutweza Mada yako Bali kuiboresha.[/QUOTE]
Nimekuelewa vizuri ila kumbuka hivi vitu si kwamba vina super natural powers hapana, their powers are so limited.... ni kama vile ishu za chumaulete zipo ila angalia mazingira yake inafanyika kwenye kaliba za kifukara
Kuna sehemu nimesema kuwa gugu chawi ambalo hata kwa kiingereza likijulikana kama witch weed ni tofauti kabisa na magugu mengine ambayo huzonga mimea ili isistawi wakati gugu chawi lenyewe hupenyeza mizizi yake kwenye mizizi yake mimea tajwa
Isichukuliwe kama haya ni mambo ya kiswahili kwakuwa hata wao tunaowaita wamestaarabika na kubukua sana wanalitambua kwa jina hilo
Sifa yake nyingine ni uwezo wake wa kuushambulia mmea kunde ambao majani yake ni malighafi Nzuri ya wachawi.... Hapa najaribu kuunganisha dots
 
Back
Top Bottom