Hapo hakuna creativity yoyote maana watu tayari washaumiza vichwa kutengeneza hizo software za ku burn cd, wanao burn cd huwa ni watumiaji wa software ambayo imesharahisishwa kutumika, hakuna creativity yoyote hapo!! hata mtoto wa miaka sita especially kama anajua kiingereza unaweza kumfundisha kwa siku moja tu maana software imerahisisha matumiziWanajua ku burn CD
Usipende sana kulaumu. Kama wewe umetengeneza kitu gani cha I.T?Wanajua ku burn CD
Mimi ni fundi seremala, elimu niliishia form 4, kwenye mambo ya pc naweza kujiweka level ya mtumiaji wa kawaida na nashukuru lugha ya malkia hainipigi chenga.Mkuu wewe chuo umesoma Nini na umefanya kitu Gani mpaka sasa? Au hujasoma
Tuanze na wewe kwenye kada yako umefanya Nini ama mmefanya Nini Cha kuishtua dunia ama mmeishia kukariri tu bila ya ku innovate yenu binafsi. Je ya hao mliyoyasoma mkapata karatasi zenu unadhani wao waliyajuaje walisomea wapi,Kama mgunduzi wa umeme alisomea wapi umeme ama gari?- IT, computer science, computer engineering, cyber security, data science, kuna vyuo vinatoa hizi fani na wahitimu wapo wengi lakini sioni cha ajabu walichofanya hadi sasa
Naona kuna graduates kibao sana wa haya mambo ila wengi huishia kusubiri kuomba ajira, kuhusu creativity, uvumbuzi ama ku innovate vitu naona bado sana.
Hata yule mtz alieuza system yake ya gesi kwa bilioni 50 sio graduate wa IT, alisonea mambo ya uhasibu ila alikuwa anafanya IT kama ujuzi binafsi.
Wewe inaonekana una nature ya hizo Mambo ,na hapa ukipewa maujuzi kidogo utaenda mbali mno utakuja kuandika history kuwa alikuwaga seremala sahivi Ni it director American or world bank. Check Kama umri unaruhusu na uwezo wa mfukoni zama school ama somea online hizo kozi za it Ni PC yako tu umekaa ndani na internet unamaliza.Mimi ni fundi seremala, niliishia form 4 lakini kwenye mambo ya pc nipo nipo na nashukuru lugha ya malkia hainipigi chenga.
Hivi vitu vya kawaida kupiga window, kuagiza vitu online, kusafisha ndani pc, kutengeneza sites kwa html / css, kushusha movies, kushusha software zilizochakachuliwa, kuchakachua modem, nk. Wala havinipi shida yoyote, si haba kwangu.
Shida inapokuja kuna IT wengine naona hata kupiga window kunawapiga chenga hadi nakosa majibu
Mleta Uzi , fanya analysis ya kutosha ili uje na vielelezo vilivyo kamilika, πhichi ulicho kiandika , kina mapungufu mengi Sana- IT, computer science, computer engineering, cyber security, data science, n.k kuna vyuo vinatoa hizi fani na wahitimu wapo wengi lakini sioni cha ajabu walichofanya hadi sasa.
Wengi huishia kujua kutumia internet bure ya vpn kwa kujaribu mafaili yaliyotengenezwa na wanaijeria, kuweka mods kwenye games, kushusha software / games / window zilizochakachuliwa, kucheza fifa kwenye ps, kupiga window, kudownload muvi kwa torrents, na vitu vingi ambavyo kiufupi creativity inayohusika ni ndogo,,, yaani happ anajiona anajua kila kitu kwenye pc, wakati kiuhalisia ni beginner.
Naona kuna graduates kibao sana wa haya mambo ila wengi huishia kusubiri kuomba ajira, kuhusu creativity, uvumbuzi ama ku innovate vitu naona bado sana.
Hata yule mtz alieuza system yake ya gesi kwa bilioni 50 sio graduate wa IT, alisonea mambo ya uhasibu ila alikuwa anafanya IT kama ujuzi binafsi.
Wasomi wote wa bongo wa fani zote wanasoma History tu hivyo usitegemee maajabu.Wengi (sio wote)
- IT, computer science, computer engineering, cyber security, data science, n.k kuna vyuo vinatoa hizi fani na wahitimu wapo wengi lakini sioni cha ajabu walichofanya hadi sasa.
Wengi huishia kujua kutumia internet bure ya vpn kwa kujaribu mafaili yaliyotengenezwa na wanaijeria, kuweka mods kwenye games, kushusha software / games / window zilizochakachuliwa, kucheza fifa kwenye ps, kupiga window, kudownload muvi kwa torrents, na vitu vingi ambavyo kiufupi creativity inayohusika ni ndogo,,, yaani happ anajiona anajua kila kitu kwenye pc, wakati kiuhalisia ni beginner.
Naona kuna graduates kibao sana wa haya mambo ila wengi huishia kusubiri kuomba ajira, kuhusu creativity, uvumbuzi ama ku innovate vitu naona bado sana.
Hata yule mtz alieuza system yake ya gesi kwa bilioni 50 sio graduate wa IT, alisomea mambo ya uhasibu ila alikuwa anafanya IT kama ujuzi binafsi.
Unajua kitu ambacho nimegundua ni kwamba hata kwenye matumizi ya kawaida ya pc hapa bongo mtu anaweza kuonekana master hapa tz.Wewe inaonekana una nature ya hizo Mambo ,na hapa ukipewa maujuzi kidogo utaenda mbali mno utakuja kuandika history kuwa alikuwaga seremala sahivi Ni it director American or world bank. Check Kama umri unaruhusu na uwezo wa mfukoni zama school ama somea online hizo kozi za it Ni PC yako tu umekaa ndani na internet unamaliza.
Kuna muda unakutana na foreman site za ujenzi Ni la saba Ila anajua vitu vya kitalaamu adi keep ujue. Huwezi mdanganya kitu ,sema tu mkiingia kwa karatasi anakimbia. Anafanya kwa kukariri sema Ile why hanayoUnajua kitu ambacho nimegundua ni kwamba hata kwenye matumizi ya kawaida ya pc hapa bongo mtu anaweza kuonekana master hapa tz.
Mtu kavuja jasho na kaumiza kichwa kuchakachua window / game / software na kuiweka mtandaoni ili watu wadownload watumie bure, hapo sisi tunao download tunafata maelekezo yake kutumia hizo software bure wala hatuumizi kichwa, lakini mbongo anaweza kukuona bonge la mtaalam ππ
Binafsi kipimo changu cha IT alieiva ni creativity ya kubuni vitu, ku modify vitu, n.k. kadri apendavyo, hapa nazungumzia developers na programmers wazoefu wanaosababisha mambo sio sisi wazee wa kupakua.
Binafsi kwa vitu nafanya kiukweli hata baadhi ya IT wananiona konki lakini nashangaa maana nami huwa ni mtumiaji tu wa vilivyoandaliwa kwajili ya matumizi.
Hata kwa darasa la saba wengi tu ni hawa wajenzi wanaotujengea nyumba, nimewahi kwenda sehemu flani kuna ujenzi unaendelea wapo wanafunzinwa field kwenye vitendo bado wabichi sana wanafindishwa na hao hao darasa la saba, wanafunzi wengi walikuwa nondo kwenye makaratasi lakini kiutendaji ilibidi wawe wanafunzi upya.Kuna muda unakutana na foreman site za ujenzi Ni la saba Ila anajua vitu vya kitalaamu adi keep ujue. Huwezi mdanganya kitu ,sema tu mkiingia kwa karatasi anakimbia. Anafanya kwa kukariri sema Ile why hanayo
Na hawapewi nafasi,Wapo watabe wa it ni wachache kuliko wanao iangusha tasnia
Hakuna kitu kama hichoWanaweza kuchungulia kwenye akaunti zako za benki na kukomba Salio lako lote. Angalia wasije wakakukomoa.