Elections 2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

UKAWA wajanja sana...wanajua CCM wakimkata EL...basi...hakuna mtu mwingine atashindana na Dr. Slaa...in other words...Dr. Slaa atashinda kwa kishindo kikubwa sana...so CCM wakimkata EL...itajizika yenyewe...na HUWENDA EL...akampiga tough Dr. Slaa na UKAWA WAKACHUKUA NCHI...tht is possible in politics....so CCM wajua hili very clear...so EL hawezi kukatwa kamwe...!!!

UKAWA pull up ur sox...EL is ahead of you...!!!
 
11025231_648539275273456_3992346690821395580_n.jpg
 
Nyoka akiingia ndani mwako utahama tu chumba hicho ingalau ni mnyama mdogo sana. Ukaenda kutafuta msaada nyoka yule ukamkuta kameza kitu amenenepa pale alipopitia hawezi kutoka tena basi ni hatari zaidi. Heri nyoka mia waliopo machakani kuliko yule mmoja aliyeko ndani. Wengine wanasema huwezi zuia mvua ya mawe kwa chandarua.
 
Refer UR TAKE....

HAKUNA MTU WA AINA HIYO CCM...IT SEEMS WW BADO MCHANGA SANA KISIASA....hujui unayosema....waulize wajuzi wa siasa duniani au hata hapa Tz...CCM au kwingine kote hakuna mtu wa aina hiyo....hata ww hauko hivyo...sembuse KIONGOZI WA CCM....so BORA MCHAPAKAZI NA AKIMALIZA KAZI KINACHOBAKI AKICHUKUA KIDOGO SIO MBAYA...

Bottom line....👇👇👇🙌🆙🆗
😂
EL ni mchapa kazi...utake usitake...CCM will pick him...!!!

Huwa nashindwa kupata jibu sahihi na jepesi kuhusu Lowasa na wafuasi wake. Kwa muda mfupi sana amejidhihirisha kuwa si mkweli na ni tapeli na hafai kuaminiwa katika nafasi ya urais wa nchi yetu. Na hii imejidhirisha pale aliposhiriki pamoja na kufungiwa na chama chake kwa kuanza kampeni mapema lakini bado alikusanya watu kwa kutumia fedha zake makundi kwa makundi kwa nyakati tofauti na kuwaita mahala alipo na kujitathiminisha kuwa anapendwa sana na wananchi na eti wanamtaka agombee urais na kuwa hawezi kuwazuia watu wanaofika kwake kumtaka agombee urais.

Ukitaka kujua kuwa huu ni utapeli na michezo ya kuigiza jipe majibu sahihi ya maswali haya: -

1. Ni kwa njia gani watu zaidi 100 waweze kukusanyika kwa wakati mmoja wakasafiri toka mikoa ya mbali bila ya kupanga, kuchanga fedha kwa ajili ya safari kwa ajili ya kula, kulala na kujikimu na wasiwe na taarifa ya kule waendako kama watamkuta mwenyeji wao au la na wakasafiri bila hofu na kumkuta mwenyeji wao na kukamilisha dhumuni lao kwa wakati stahiki bila ya kukwama popote pale?

2. Je ni wakati wote Lowasa pale Monduli na nyumbani kwake Dodoma huwa ana waandishi wa habari ambao wako tayari kwa mapokezi yoyote yale hata yale yasiyo na taarifa?

3. Je ni wakati wote Lowasa huwa ameandaa hafla za mapokezi kwa wageni wanaozidi kiasi kikubwa hivyo pale Monduli na Dodoma katika makazi yake bila ya kuwepo taarifa za awali za maandalizi ya mapokezi?

4. Kwa nini kuwepo na taarifa za kukanusha kuhusu wanaojitokeza nyumbani kwake kuwa ni wawakilishi wa taasisi/jamii fulani badae viongozi husika wa taasisi/jamii hukanusha na ukweli kudhihiri kuwa si wawakilishi kama ilivyoelezwa awali?

5. Je waendesha bodaboda toka Mbarali Mbeya zaidi ya kilometa 600 wamewezaje kusafiri na kurudi umbali mrefu hivyo kwa gharama zake binafsi ikiwemo mafuta, kula na kulala?

Usisahau kuwa kipato chao ni cha chini na ni aghalabu kumkuta bodaboda anayeweza kujigharamia umbali mrefu hivyo bila ya matarajio yoyote.

Majibu sahihi ya maswali haya yanakupa aina ya mtu tunaelazimishwa kuwa anapendwa sana na wengi kuwa si mkweli na hafai kuwa kiongozi wa juu wa taifa hili na ni wa kuogopwa kama ukoma hata kama anafedha nyingi za kununua watu kiasi gani bado hatufai.

My take:
Naamini CCM itatutendea haki watanzania kwa kutuletea mgombea asiye mtapeli wala mpenda madaraka na asiye na makundi na asiye na kashfa ya kifisadi wala ya rushwa.
 
Mradi ungekamilika Kama JK asingekua mwenyekiti Wa CCM....

Na pili ungetimia endapo waasisi wake wangekua na sababu za haki kumzuia asigombee badala ya kuwa na chuki....husda....wivu na choyo....

Mpaka sasa wapinzani Wa Lowassa ndani ya CCM hawana sababu za msingi au pingamizi la haki kiasi kwamba hawajaweka hadharani sababu hizo zaidi ya mizengwe yakutaka kuwaweka vipenzi wao wagombee.....

Mangula alishindwa kumzuia JK asigombee 2005 kwa tuhuma zake za kupika na atashindwa 2015 kwa lowassa.....
 
Pasco
mbali ya makando kando macho yangu kama yana makengeza, sioni afya yake kama ni njema kama kapigwa na kitu chenye kutu niwie radhi.
 
Kamati ndogo ya Maadili ya CCM inaundwa na:
1. Philip Mangula
2. Abdulrahman Kinana
3. Pindi Chana
4. Shamsi Vuai Nahodha
5. William Lukuvi
6. Maua Daftari

Yani hawa ndo wa kumwekea grade mbaya EL?
You guys are joking for sure.
 
Lowasa labda awe rais wa Yanga Africa ya jangwani lakini si urais wa Tanzania .
Huo hataupata kamwe.

Mkuu Young African ina taratibu zake,na CCM ina taratibu zake.Unategemea Mzee Kingunge au Karume watamuangusha katika CC?
 
Mpaka ifike October tutakuwa tumeshuhudia mengi...
Wagombea watarajiwa hasa wa CCM lazima wapungue uzito...mana kumekuwa na rafu ambazo hazijawai tokea tangu tupate uhuru...
Wapambe lazima wajenge magorofa...

Maana hizi drama zimekuwa nyingi...kila siku movie mpya iko sokoni...

Huwa nashindwa kupata jibu sahihi na jepesi kuhusu Lowasa na wafuasi wake. Kwa muda mfupi sana amejidhihirisha kuwa si mkweli na ni tapeli na hafai kuaminiwa katika nafasi ya urais wa nchi yetu. Na hii imejidhirisha pale aliposhiriki pamoja na kufungiwa na chama chake kwa kuanza kampeni mapema lakini bado alikusanya watu kwa kutumia fedha zake makundi kwa makundi kwa nyakati tofauti na kuwaita mahala alipo na kujitathiminisha kuwa anapendwa sana na wananchi na eti wanamtaka agombee urais na kuwa hawezi kuwazuia watu wanaofika kwake kumtaka agombee urais.

Ukitaka kujua kuwa huu ni utapeli na michezo ya kuigiza jipe majibu sahihi ya maswali haya: -

1. Ni kwa njia gani watu zaidi 100 waweze kukusanyika kwa wakati mmoja wakasafiri toka mikoa ya mbali bila ya kupanga, kuchanga fedha kwa ajili ya safari kwa ajili ya kula, kulala na kujikimu na wasiwe na taarifa ya kule waendako kama watamkuta mwenyeji wao au la na wakasafiri bila hofu na kumkuta mwenyeji wao na kukamilisha dhumuni lao kwa wakati stahiki bila ya kukwama popote pale?

2. Je ni wakati wote Lowasa pale Monduli na nyumbani kwake Dodoma huwa ana waandishi wa habari ambao wako tayari kwa mapokezi yoyote yale hata yale yasiyo na taarifa?

3. Je ni wakati wote Lowasa huwa ameandaa hafla za mapokezi kwa wageni wanaozidi kiasi kikubwa hivyo pale Monduli na Dodoma katika makazi yake bila ya kuwepo taarifa za awali za maandalizi ya mapokezi?

4. Kwa nini kuwepo na taarifa za kukanusha kuhusu wanaojitokeza nyumbani kwake kuwa ni wawakilishi wa taasisi/jamii fulani badae viongozi husika wa taasisi/jamii hukanusha na ukweli kudhihiri kuwa si wawakilishi kama ilivyoelezwa awali?

5. Je waendesha bodaboda toka Mbarali Mbeya zaidi ya kilometa 600 wamewezaje kusafiri na kurudi umbali mrefu hivyo kwa gharama zake binafsi ikiwemo mafuta, kula na kulala?

Usisahau kuwa kipato chao ni cha chini na ni aghalabu kumkuta bodaboda anayeweza kujigharamia umbali mrefu hivyo bila ya matarajio yoyote.

Majibu sahihi ya maswali haya yanakupa aina ya mtu tunaelazimishwa kuwa anapendwa sana na wengi kuwa si mkweli na hafai kuwa kiongozi wa juu wa taifa hili na ni wa kuogopwa kama ukoma hata kama anafedha nyingi za kununua watu kiasi gani bado hatufai.

My take:
Naamini CCM itatutendea haki watanzania kwa kutuletea mgombea asiye mtapeli wala mpenda madaraka na asiye na makundi na asiye na kashfa ya kifisadi wala ya rushwa.
 
UKAWA wajanja sana...wanajua CCM wakimkata EL...basi...hakuna mtu mwingine atashindana na Dr. Slaa...in other words...Dr. Slaa atashinda kwa kishindo kikubwa sana...so CCM wakimkata EL...itajizika yenyewe...na HUWENDA EL...akampiga tough Dr. Slaa na UKAWA WAKACHUKUA NCHI...tht is possible in politics....so CCM wajua hili very clear...so EL hawezi kukatwa kamwe...!!!

UKAWA pull up ur sox...EL is ahead of you...!!!

Naona unawechezea ccm mindgames, pole ndugu yangu we piga hela za mzee tu lakini urais labda atumie nguvu ya dola na sio box la kura. Kila siku nawauliza huyo EL yuko bungeni, hatujawahi kuona mchango wake, lakini mnatuambia ni kiongozi mzuri wenzetu uzuri na ubora wake mnaunonea wapi? Hebu nitajie hata siku moja aliyowahi kuingia kwenye mjadala huru na akaulizwa maswali na kuyajibu kinagaubaga. Simply mzee hana huo uwezo bali anauchu wa madaraka na ndio maana analipa watu na vyombo vya habari ili aonekane anakubalika. Halafu hajui kwamba tabia hii ndio hiyo iliyotuingiza mkenge kwa JK mwaka 2005 tukiambiwa ni rais kijana na sura yake itapendeza kwenye noti. Leo hii mnatuona bonge ya mazuzu kwa mbinu zilezile za kizee.
 
Na hilo ndilo lengo lake, Hivyo tutashuhudia act ikipata mgombea.

Mmh akawe chini ya Kiongozi Mkuu au itabidi kiongozi mkuu ampishe na hiyo nyadhifa maana ACT kiongozi Mkuu ni kama mfalme kwa jinsi alivyotunukiwa mamlaka makubwa na Katiba ya ACT.
 
Wanabodi,

Hii ni tetesi ya habari mbaya kwa wapenzi wa kipenzi cha watu, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kuwa pamoja na Mhe. Lowassa kuwa ndie mtu anayekubalika sana kuliko mtu mwingine yoyote ndani ya CCM, wale wasiolitakia mema taifa hili, wamepania kupanga njama za kumhujumu kwa kuhakikisha kuwa jina lake halitaingia hata ndani ya kikao cha CC kujadiliwa!, wamepanga kumchinjia baharini kwenye kamati ya maadili, itakayoyajadili majina wagombea kabla ya kuyaingiza kwenye Kamati Kuu, kujadiliwa!.

Lengo la hujuma hiyo ni kufuatia Lowassa kukubalika kupindukia, jina lake likifika tuu CC, hakuna wa kumkata, hivyo wahafidhina wa CCM, wanaounga mkono kambi ya mmoja wa wagombea, wameapa kuhakikisha jina la Lowassa, halivuki kisingiti cha kamati ya maadili, hivyo kumchinjia rasmi baharini, ili mgombea wao apete kwa mteremko!.

Naomba nisitaje chanzo cha habari hizi, kwa kutumia kanuni ya "the confidentiality of the source"
ila kwa vile hizi ni tetesi tuu, zitakapothibitika ndipo nitaweka source!.

Kama kawaida yetu jf, habari kama hizi ambazo hazijathibitishwa, zimeletwa humu hivi hivi zilivyopokelewa, ili wewe kama mwana jf, be the first to know!, na information is power!, hivyo kutoa fursa kwa wenye uwezo wa kuizuia hii mipango dhalimu inayopangwa, kutaka kuwakosesha Watanzaia mgombea kipenzi chao, chaguo la wengi, na mwenye uwezo usio tia shaka kuyamaliza matatizo yote ya taifa letu Tanzania.

Hii ni thread ya info tip, tuu, hivyo naomba nisiulizwe swali lolote kuhusu hii news tip for your info tuu.

NB. Chama cha Mapinduzi ni taasisi huru yenye uwezo wa kufanya shughuli zake kwa uhuru vile ambavyo wataona wenyewe inafaa, ikiwemo vigezo na jinsi ya kuwachagua wagombea wake, ila kwa sisi ambao ni wakereketwa wa mustakali mwema wa nchi hii, kamwe hatutakubali, kuona watu wenye uwezo na wanaokubalika na wengi, wakienguliwa kwa mizengwe tuu, kitu ambacho CCM imekuwa ikikifanya mara nyingu huko nyuma na labda ni kweli ndicho walichopanga kukifanya mwaka huu!, yaani CCM imekuwa ikiwaengua wagombea wazuri kwa mizengwe na ikabaki salama!, lakini this time, nimewasikia baadhi ya wana CCM kindakindaki, kuwa wamejiapiza, this time CCM ikimuengua chaguo lao kwa mizengwe, patachimbika!.

Pasco

Pasco mwenzetu unalipwa kiasi gani kulipiga hili debe? Kukubalika kwa Lowassa kunakopimwa na taasisi anazozigharimia na zimezuka tu kabla ya uchaguzi na hata hazikuwa na shughuli yoyote ile ya maana kabla ya sasa hivi kama hujahongwa basi una matatizo ya kutafakari. Autism?
 
Last edited by a moderator:
Kamati ndogo ya Maadili ya CCM inaundwa na:
1. Philip Mangula
2. Abdulrahman Kinana
3. Pindi Chana
4. Shamsi Vuai Nahodha
5. William Lukuvi
6. Maua Daftari

Yani hawa ndo wa kumwekea grade mbaya EL?
You guys are joking for sure.

Hapo kura ya hapana kwa Lowasa ni moja tu kutoka kwa Mangula wengine wote ni yes. Na kumbe Nape na makelele yoote kwenye vikao vizito kama hivi hayumo!
 
Kwani uko ccm nani msafi when it comes to Ufisadi?
Tena akikatwa jina ndo vzr coz naamini ana watu wengi tu humo ccm ambao ataondoka nao!!!
Lichama liendelee kuvunjika

aanzishe chama chake lakini ukawa hatutakubali kujiunga na huyu fisadi.asije kutuharibia muungano wetu wa ukawa.
 
Kamati ndogo ya Maadili ya CCM inaundwa na:
1. Philip Mangula
2. Abdulrahman Kinana
3. Pindi Chana
4. Shamsi Vuai Nahodha
5. William Lukuvi
6. Maua Daftari

Yani hawa ndo wa kumwekea grade mbaya EL?
You guys are joking for sure.

Mbona wote hawa si kikwazo kwa EL?Labda kama angeongezwa Nape na Makonda ndio ingekuwa shida.Mimi naamini hawa wajumbe hawataki kujiingiza katika siasa za bora sote tukose,watamtendea haki.
 
Back
Top Bottom