Elections 2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

kuacha kumchagua mtu mwenye nguvu ya umma na pesa na marafiki wakubwa ni jambo la hatari sana kwa nchi yeyote, isitoshe, ameshaonyesha nia, labda wangemzuia kabla, lakini sasa is too late.

Wamechelewa sana... Watu wengi wanawazia mwaka huu tu, 2020 si mbali lowassa akikosa, 2020 ndo atakuwa kashaanzisha chama chake mwenyewe.

Lowassa ana mbinu za sasa na baadaye, anajua siasa kuliko unavyodhani ,na nec iseje ikajidanganya kumwacha. Kwani kiongozi ajaye atakuwa na wakati mgumu sana, anyway muda utaamua. Yetu macho...

unategemea jibu gani kwenye hii post?hahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,kweli lowasa ni kiboko ya wengi,mtakosa usingizi hadi octoba tutasikia mengi
 
kuacha kumchagua mtu mwenye nguvu ya umma na pesa na marafiki wakubwa ni jambo la hatari sana kwa nchi yeyote, isitoshe, ameshaonyesha nia, labda wangemzuia kabla, lakini sasa is too late.

Wamechelewa sana... Watu wengi wanawazia mwaka huu tu, 2020 si mbali Lowassa akikosa, 2020 ndo atakuwa kashaanzisha chama chake mwenyewe.

Lowassa ana mbinu za sasa na baadaye, anajua siasa kuliko unavyodhani ,na NEC iseje ikajidanganya kumwacha. Kwani kiongozi ajaye atakuwa na wakati mgumu sana, anyway muda utaamua. Yetu macho...

Unadhani kwa akili yako Lowasa anaweja kuishi hata miaka mitatu mbele?
 
angalia usije ukafa ukamuacha yeye bado mzima

Hata kama nikifa kabla sawa tu ila baada ya miaka miwili ijayo Lowasa hana nguvu tena za kuongoza hope hata kutembea sijui kama atakuwa anaweza kutembea.
 
Ukweli ni kwamba, waakimuacha EL, ccm itakuwa vipande vipande. Wakimsimamisha EL, napo ccm itakuwa vipande vipande. Kuiponya ccm, ni kwa El kujiondoa mapema. la sivyo October itakuwa sherehe ya UKAWA
 
Lowasa hawezi kuwa maarufu kuliko nchi,acheni kututisha na huyo Lowasa wenu na Urais hapati na hafanyi kitu
 
Naomba nijue vyanzo vya Utajiri wa Lowasa maana hakuwahi kuwa mfanyabiashara ( hajawahi ku-declare hadharani) maisha yake mengi au yote yalikua kwenye siasa, hebu niambieni kwenye siasa wanalipwa bei gani hadi Lowasa aseme kuwa yeye ni tajiri na akaudhihirishia umma wa Watanzania kule Arusha kuwa yeye ni Tajiri. source ya utajiri wake ni ipi??
 
kuacha kumchagua mtu mwenye nguvu ya umma na pesa na marafiki wakubwa ni jambo la hatari sana kwa nchi yeyote, isitoshe, ameshaonyesha nia, labda wangemzuia kabla, lakini sasa is too late.

Wamechelewa sana... Watu wengi wanawazia mwaka huu tu, 2020 si mbali Lowassa akikosa, 2020 ndo atakuwa kashaanzisha chama chake mwenyewe.

Lowassa ana mbinu za sasa na baadaye, anajua siasa kuliko unavyodhani ,na NEC iseje ikajidanganya kumwacha. Kwani kiongozi ajaye atakuwa na wakati mgumu sana, anyway muda utaamua. Yetu macho...

elfu65....?Duuu kwa ni ww unashngap?.....'BUKU'
 
Sasa unatishia watu Nyau??? kama hafai hawezi kupitishwa kwa vile ana pesa a marafiki wakubwa!!! wacha kutishiwa watu wazima Nyau!!
 
CCM ni CCM, hakuna CCM safi. Wote ni wale wale. Lowassa na anti-Lowassa, wote ni wachafu. Kama ni kuuza kwenye ugombea uraisi, wote watategemea nguvu ya fedha, hujuma na kuiba kura. Hakuna mwanaCCM anayetarajia kushinda uraisi kwa fair play.

Wanaotaka kumzuia Lowassa asifike kwenye ngazi za kupigiwa kura ili agombee, wajue hiyo wanayotaka kucheza ni rafu. Sasa kwa muda tulifikia, endapo Lowassa atatendewa rafu, basi impact yake ni direct kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Yaani kama uchaguzi ni goli, kwa hapa tulipofikia, faulo yeyote atakayofanyiwa Lowassa, impact yake ni sawa na penalt. Walikuwa na nafasi ya kufanya hiyo rafu tangu miaka kadhaa iliyopita, ambapo impact yake ingekuwa mbali na "goli".

Kwa hiyo CCM wachague, ama wamuache Lowassa apige shuti golini (kwa kupigiwa kura na mkutano mkuu, hapo huenda akakosa pia), au wafanye faulo ya kumuondoa na kushuhudia penalti ya kupoteza mamilioni ya wapiga kura watakaochukizwa na faulo hiyo.
 
kuacha kumchagua mtu mwenye nguvu ya umma na pesa na marafiki wakubwa ni jambo la hatari sana kwa nchi yeyote, isitoshe, ameshaonyesha nia, labda wangemzuia kabla, lakini sasa is too late.

Wamechelewa sana... Watu wengi wanawazia mwaka huu tu, 2020 si mbali Lowassa akikosa, 2020 ndo atakuwa kashaanzisha chama chake mwenyewe.

Lowassa ana mbinu za sasa na baadaye, anajua siasa kuliko unavyodhani ,na NEC iseje ikajidanganya kumwacha. Kwani kiongozi ajaye atakuwa na wakati mgumu sana, anyway muda utaamua. Yetu macho...
[/

tusubiri tuone, hata kamati KUU inalijua hilo
 
Aliyesema kuwa kuwa lazima awe Rais wa Tanzania ni nani? Nani kampa haki hiyo kuliko watu wengine wote. Nashangaa sielewi hii dhana kwamba lazima awe yeye tunaitoa wapi.

Huyo ana nguvu ya pesa siyo ya umma kama unavyodhani. Na pesa yenywe siyo ya kwake bali ni ile ambayo kwa njia moja au nyingine kawaibia watanzania kwa ufisadi wake usio na mfano. Nyuma yake wapo "vibaka" wakubwa wkiongozwa na Rosti mchuzi, Joka la makengeza, Kalanini sijui pamoja na kupe na ndorobo wasio na idadi.
 
Back
Top Bottom