Libeneke la CCM Hewani.....

Libeneke la CCM Hewani.....

nimeipitia lakini nimejifunza kuwa mbali ya kutoa option ya comment no body has commented, hamuoni mbali ya kuwa karibisha wadua wanapuuza japo kutoa maoni, chukueni hatua wamiliki wa blog ya kifisadi
 
HABARI ZINAZOWEZA KUPATIKANA HUKO NI KAMA HIZI.
1.MKUU WAMKOA AMESEMA DC KIMOLO AMEPATA TETESI KUWA HATATEULIWA TENA NA RAIS KWA SABABU YA UWEZO WAKE.
2.NAPE ASEMA WANAOONDOKA CCM NDIYO MAGAMBA(MAFISADI)
3.RAIS ATEUA WABUNGE WATEULE KUWA MAWAZIRI NA HAPO HAJAVUNJA KATIBA.
4.TUNATEKELEZA ILANI YETU TULIYOWAAHIDI KATIKA KAMPENI KATIBA MPYA,BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI,KUWAKAMATA WAKURUGENZI TUKIANZIA KISHAPU.
5.TUTAENDELEA KUJENGA DEMOKRASIA NDANI YA BARAZA LA MAWAZIRI KWA KURUHUSU MAWAZIRI WABISHANE NA KUTOA MALALAMIKO YAO KWA VYOMBO VYA HABARI.
6.RAIS HATAFANYA MAAMUZI BILA KUITISHA CC YA CHAMA CHETU.
7.VYOMBO VYA HABARI MSIANDIKE HABARI ZA WANACHAMA WETU WANAOONDOKA KUINGIA CHADEMA.
8.NDANI YA CHAMA WOTE NI WASEMAJI WA CHAMA NI USHAPU WAKO TU.
9.TUTAFUNGUA MNADA WA KUUZA TWIGA NA PUNDAMILIA KWENDA NJE NA MADALALI NIU SISISISI.

wale wote waliodhania yale tuliokuwa tunawaambia ilikuwa tulighafilika.:wacko::wacko:
 
Chadema nao wako mbioni kuanzisha ya kwao!! CDM wazee wa kukopy na kupest!
 
Chama dume, chama tawala , chama chenye dola , chama cha ccm kimeanzisha blogu ambayo pamoja na kuhabarisha habari za mapema za shughuli za chama, lakini itakuwa ikiyapa kipaumbele pia matukio ya kijamii, kisiasa, kibiashara, uchumi, burudani, sanaa na michezo na pia kuyapokea na kuyasambaza maoni ya wengine ambayo hayatakiuka maadili ya vyombo vya habari.

Anuani ya Blogu ni : CCM Chama Blog
Link : Chama Cha Mapinduzi Blog

Karibuni wote wana JF tujimwage kwenye blog ya chama na yenye kutoa habari za ukweli na uhakika

CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !
Chama chetu dume kweli kweli la mbegu haswaa!!
 
Ama kweli baniani mbaya kiatu chake dawa,leo CCM wanakuja kutangaza blogu yao JF wakati walikuwa wa kwanza kuitaka serikali iifutilie mbali JF
 
Chama dume, chama tawala , chama chenye dola , chama cha ccm kimeanzisha blogu ambayo pamoja na kuhabarisha habari za mapema za shughuli za chama, lakini itakuwa ikiyapa kipaumbele pia matukio ya kijamii, kisiasa, kibiashara, uchumi, burudani, sanaa na michezo na pia kuyapokea na kuyasambaza maoni ya wengine ambayo hayatakiuka maadili ya vyombo vya habari.

Anuani ya Blogu ni : CCM Chama Blog
Link : Chama Cha Mapinduzi Blog

Karibuni wote wana JF tujimwage kwenye blog ya chama na yenye kutoa habari za ukweli na uhakika

CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !

Nimeona hii thread nikajisika kichefuchefu,nahisi nikifungua hiyo blog ndo nitatapika kabisa.
 
Nimepitia huko, swaaaaafi sana, imetulia na imesheheni rangi za bendera ya Taifa.
 
Itakuwa nape au january manake wana ka ipad wanatembea nacho kila mahali ndo watakuwa wameanzisha kijiblog.
 
Back
Top Bottom