Shahed kamikaze
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 606
- 1,001
Hiki kituo kinachojipambanua kutetea haki za binadamu kinachoongozwa na huyu mama mahiri wa kichaga huwa sikielewi kabisa.
Linapokuja suala linalogusa haki za binadamu huyu mama huwa mgumu sana kutoa matamko ya kulaani yaani huwa domozege, yanapokuja masuala ya kisiasa hasa yanayoihusu chadema utasikio ooh mara hivi mara vile, mama vunja hicho kituo ugombee uongozi chadema hata uenyekiti wa bawacha umng'oe mdee kuliko kujifichaficha kwa mgongo wa LHRC, unafaa sana.
Mfano mzuri mauaji yaliyotokea Tanga, Mara na Mwanza hatujaona ukilaani, bure kabisa.