LHRC ya Hellen Kijo Bisimba isajiliwe tu kuwa chama cha siasa

LHRC kwa sasa ndiyo NGO pekee inayosaidia wanyonge kwenye mswala ya kisheria. Ukitaka ushahidi tembelea vituo vyao makao makuu na mikoani uone watu wanavyotetewa bure kuanzia kwa waajiri waonevu, kesi za kubambikiwa za jinai, wajane wanaodhulumiwa mirathi, kesi dhidi vyombo vya dola vinavyonyanyasa wananchi n.k. kwenye siasa ni lazima wapige kelele iwapo demokrasia inapuuzwa. Ulitaka wafanye nini zaidi? CCM kubalini kukosolewa kwani nchi hii ni yetu wote na hata inawezekana wengi wanaotetewa na shirika hili wengi ni wanachama wenu.
Hawa ndugu zetu wa kaskazini wana tatizo la kutojua namna ya kula na kipofu. Juzi juzi kupitia channel ten amesikika mmoja wa wanasheria kutoka kwa huyu mama somebody Mkindi, alichokuwa anaeleza ni kama kwamba haki za binadamu means haki za cdm. Yeye ni mwanasheria lakini alichokuwa akisisitiza juu ya naibu spika ni kwamba tulia anatakiwa atumie hekima binafsi badala ya sheria kwa sababu inaonekana matumizi ya sheria hayawezi kuleta harmony bungeni. Sikushangaa kwa sababu Mkindi anavyoonekana na kuongea ni lazima atakuwa kutoka kaskazini na bahati mbaya hawa jamaa zetu bado hawajaamini kama uchaguzi uliisha na kwa vyovyote vile kama kuna uhai rais ni JPM kwa miaka minne ijayo mbeleni.
 
nashauri kama kukosoa wangeanzia chadema. manake huku ndio kwenye ukandamizaji wa haki za binadamu wa uhuru wa mtu kujiamulia mambo. ukihoji tu matumizi ya fedha yapoje unafukuzwa kutoka kwwnye chama. ukitaka kugombea uenyekiti na Mbowe unaambiwa achia hujui watu wamekitoa wapi chama hiki. saaa baasi ni ukandamizaji kwa kwenda mbele
LHRC inahusikaje na chama chenye wanachama wake ? Haki za binadamu ni kati ya mtu binafsi na mwenzake (k.m.mirathi) au kati ya serikali na mwananchi. Mwanachama ambaye haridhiki na chama chake halazimishwi kubaki hapo.
 
Huyu mama ni anatumika kma na.upinzani sana.huyu
Kama wa kutumika si angetumika na chama tawala ambako angekuwa na uhakika wa kuteuliwa japo kuwa Mkurugenzi wa TTCL, TBS, PCCB etc; sasa akitumika huko chadema unakompeleka atapata ujira gani kwa 'kutumika' kwake?
 
Hawa ndugu zetu wa kaskazini wana tatizo la kutojua namna ya kula na kipofu. Juzi juzi kupitia channel ten amesikika mmoja wa wanasheria kutoka kwa huyu mama somebody Mkindi, alichokuwa anaeleza ni kama kwamba haki za binadamu means haki za cdm. Yeye ni mwanasheria lakini alichokuwa akisisitiza juu ya naibu spika ni kwamba tulia anatakiwa atumie hekima binafsi badala ya sheria kwa sababu inaonekana matumizi ya sheria hayawezi kuleta harmony bungeni. Sikushangaa kwa sababu Mkindi anavyoonekana na kuongea ni lazima atakuwa kutoka kaskazini na bahati mbaya hawa jamaa zetu bado hawajaamini kama uchaguzi uliisha na kwa vyovyote vile kama kuna uhai rais ni JPM kwa miaka minne ijayo mbeleni.

Siyo minne tu ni tisa ya kikatiba lkn akiendelea hivi itabidi tumeongezee 10 mingine.
 
Mbona unaonesha chuki ya wazi kwa CHADEMA na mahaba ya kitandani kwa CCM. Mtaendelea kukosolewa mpaka mtakapotambua kwamba hii nchi ni yetu sote. Lengo ni kuleta demokrasia ya kweli na kuondokana na utawala wa kiimla.
Kama alisahau kuongelea hayo maeneo unayoyasema wewe, ulitakiwa uyaongelee wewe kwa kuwa kulinda haki za binadamu ni wajibu wa kila mmoja. Hivyo sioni mantiki ya kumlaumu bali ulitakiwa umpongeze walau kwa hayo aliyoweza kugusia.
 
MTU asiejiamini anachukia sana anapoambiwa ukweli.....tunajua nafsi zinawasuta lkn vumilieni tu.mnafikiri nchi ya baba zenu hii?
 
Hiki kituo kinachojipambanua kutetea haki za binadamu kinachoongozwa na huyu mama mahiri wa kichaga huwa sikielewi kabisa.

Linapokuja suala linalogusa haki za binadamu huyu mama huwa mgumu sana kutoa matamko ya kulaani yaani huwa domozege, yanapokuja masuala ya kisiasa hasa yanayoihusu chadema utasikio ooh mara hivi mara vile, mama vunja hicho kituo ugombee uongozi chadema hata uenyekiti wa bawacha umng'oe mdee kuliko kujifichaficha kwa mgongo wa LHRC, unafaa sana.

Mfano mzuri mauaji yaliyotokea Tanga, Mara na Mwanza hatujaona ukilaani, bure kabisa.
Aisee kumbe anatoka Kilimanjaro,ndio maana anapenda Chadema na kuichukia CCM,kumbe.
 
Kama wa kutumika si angetumika na chama tawala ambako angekuwa na uhakika wa kuteuliwa japo kuwa Mkurugenzi wa TTCL, TBS, PCCB etc; sasa akitumika huko chadema unakompeleka atapata ujira gani kwa 'kutumika' kwake?
TTCL???! Hahahahaaaa
 
Hiki kituo kinachojipambanua kutetea haki za binadamu kinachoongozwa na huyu mama mahiri wa kichaga huwa sikielewi kabisa.

Linapokuja suala linalogusa haki za binadamu huyu mama huwa mgumu sana kutoa matamko ya kulaani yaani huwa domozege, yanapokuja masuala ya kisiasa hasa yanayoihusu chadema utasikio ooh mara hivi mara vile, mama vunja hicho kituo ugombee uongozi chadema hata uenyekiti wa bawacha umng'oe mdee kuliko kujifichaficha kwa mgongo wa LHRC, unafaa sana.

Mfano mzuri mauaji yaliyotokea Tanga, Mara na Mwanza hatujaona ukilaani, bure kabisa.
Aah! Kumbe umeshamgundua na kumstukia huyu mama?! Nami nimemsikia akiongea kwenye makongamano ama kwenye mahojiano na kwenye mada mbalimbali. Kila akiongea lazima atatoa maneno ya kuishutumu Serikali ya awamu ya tano! Naam, ifike mahali aamue na ajipambanue kwamba yuko kisiasa zaidi kuliko kujidai anatetea 'haki za binadamu'. Akiendelea na mtindo anaoufanya atajivunjia heshima.
 
Huyo Mama ni mwanasiasa halafu siyo kama mwanasiasa anafikiri haki za binadamu ni maalum kwa ndugu zake tu, wale viongozi wa CHADEMA kwamba akiwasemea viongozi wa CHADEMA hapo nd'o haki za binadamu zimetimia.

Nimewahi kumsikia 'akibwabwaja' kwenye taarifa ya habari E-FM nikadhani labda leo anaweza kuzungumza kitu tofauti kabisa kumbe walaa . . . Alipoanza kuzungumza tu, "Wabunge wa CCM..." Ah nikajua hapa anatafuta njia ya kuwatetea na kuwapigia promo ndugu zake basi nikabadilisha channel nikaweka TBC Taifa nikasikiliza taarifa ya habari, Mama wa haki za binadamu nikatupa kule!
 
Nilikuwa nasubiri tamko lao kuhusu ushoga .. Kwani makonda katangaza vita! Je wao wanamuunga mkono?!
 
Hiki kituo kinachojipambanua kutetea haki za binadamu kinachoongozwa na huyu mama mahiri wa kichaga huwa sikielewi kabisa.

Linapokuja suala linalogusa haki za binadamu huyu mama huwa mgumu sana kutoa matamko ya kulaani yaani huwa domozege, yanapokuja masuala ya kisiasa hasa yanayoihusu chadema utasikio ooh mara hivi mara vile, mama vunja hicho kituo ugombee uongozi chadema hata uenyekiti wa bawacha umng'oe mdee kuliko kujifichaficha kwa mgongo wa LHRC, unafaa sana.

Mfano mzuri mauaji yaliyotokea Tanga, Mara na Mwanza hatujaona ukilaani, bure kabisa.

Unajilinganisha na Helen wewe mbwiga?
 
Mfano mzuri mauaji yaliyotokea Tanga, Mara na Mwanza hatujaona ukilaani, bure kabisa.
Kwa hiyo angewalaani magaidi kwa kukiuka haki za binadamu wakati hadi sasa hakuna aliyethibitika rasmi kuwa alitekeleza? Anapoilaani serikali kukiuka haki za binadamu anafanya hivyo kwa sababu serikali yenyewe inakuwa inafanya hivyo kwa tamko lake rasmi, mfano kuzuia siasa hadi mwaka 2020
 
Hiki kituo kinachojipambanua kutetea haki za binadamu kinachoongozwa na huyu mama mahiri wa kichaga huwa sikielewi kabisa.

Linapokuja suala linalogusa haki za binadamu huyu mama huwa mgumu sana kutoa matamko ya kulaani yaani huwa domozege, yanapokuja masuala ya kisiasa hasa yanayoihusu chadema utasikio ooh mara hivi mara vile, mama vunja hicho kituo ugombee uongozi chadema hata uenyekiti wa bawacha umng'oe mdee kuliko kujifichaficha kwa mgongo wa LHRC, unafaa sana.

Mfano mzuri mauaji yaliyotokea Tanga, Mara na Mwanza hatujaona ukilaani, bure kabisa.
Huyo mama mi nilishamtoa thamani kabisa.
 
Back
Top Bottom