Kituo cha sheria na haki za binadamu kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu, Dk Helen Kijo-Bisimba amesema wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za RC Makonda kuingia ofisi za Clouds Media akiwa na askari wenye silaha.
Bisimba ametoa wito kwa Serikali imchukulie hatua za kinidhamu na kijinai mkuu huyo wa mkoa.

Utabanwa wewe Rais habanwi na mbulula kama wewe kaa huko kwa wazungu ubebe mabox tu!Abanwe mbavu huyu uchwara mpaka kieleweke.
Mange na GWAjima walimpigia kura?Dar walimpa kura ngapi?.Sisi tuliompa kura anatusikiliza....mama endelea kula fedha za wazungu halafu ucheue..
Huna lolote wewe sisi tuliempa kura ndo tunamsikiliza sio nyinyi Chagadema!!Rais wangu,
Nadhani kama ilivyo kawaida ya wapambe na watu walio karibu na mfalme hunena "yanayompendeza" tu mfalme.
Huenda wakawa wanakuambia unakubalika sana, unaaminika na unatisha. na huenda wanaenda mbali kwa kukudanganya kuwa ni "kelele" tu za mitandao ya kijamii lakini bado unapendwa.
Ukweli makundi yote yanakusema vibaya, wafanyabiashara, wafanyakazi, wakulima nk.
Kwa Sasa nchi iko ktk sintofahamu, watu wanashindwa kujua kesho yao. tafadhali amini hili japo linauma.
Uchumi mbovu, kukosekana kwa ajira, mishahara hafifu, mamilioni ya vijijini, uhuru wa bunge, kauli za ubabe, kutotoa fursa sawa za kidemokrasia baina ya vyama shindani ni miongoni mwa kero za huku mtaani
Najua hupendi kuamriwa wala kuambiwa ukweli wa aina hii, na pia mitandao ya kijamii kwako si mizuri(kwa maneno yako)
Ila nami nisipokuambia ukweli nahisi kupungukiwa jambo.
ona mnavyojiaibisha sasa raisi anatakiwa kumsikiliza kila mtu haijalishi amempigia kura au la ama Ni chama pinzani
nchi haiendeshwi kwa style hio ata siku moja
Factwell said
ukweli mtupu
Wewe ndo unakichwa kigumuAnajifanya ana kichwa kigumu sana huyo mzee
muleze mama BIBisimbaona mnavyojiaibisha sasa raisi anatakiwa kumsikiliza kila mtu haijalishi amempigia kura au la ama Ni chama pinzani
nchi haiendeshwi kwa style hio ata siku moja
muleze mama BIBisimbaona mnavyojiaibisha sasa raisi anatakiwa kumsikiliza kila mtu haijalishi amempigia kura au la ama Ni chama pinzani
nchi haiendeshwi kwa style hio ata siku moja
Utabanwa wewe Rais habanwi na mbulula kama wewe kaa huko kwa wazungu ubebe mabox tu!