Letter to Husband

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
My darling husband,

Before you return from your business trip, I just want to let you know about the small accident I had with the pick up truck when I turned into the driveway.

Fortunately it's not too bad and I really didn't get hurt, so please don't worry too much about me.

I was coming home from
Mlimani City, and when I turned into the driveway I accidentally pushed down on the accelerator instead of the brake.

I am really sorry, but I know with your kind-hearted personality you will
forgive me. You know how much I love you and care for you my sweetheart.

I am enclosing a picture of the damage mercedes benz for you.

I cannot wait to hold you in my arms again.

Your loving wife.
XXX
benz.jpg




 
I can imagine the reaction of the husband after seeing the pic..
 
Atanunuliwa nyingine.................Usicheze na wanawake bana.......................!

kweeee kweeee kweeeeeee........... viumbe hawa ni balaaa

anaweza akamwambia sasa hivi darling nataka range rover na akanunuliwa
 
Ni sawa na Njiwa wako akutie hasara ya kula mtama ulioanikwa uani .
 
Loh!Kwa mafisadi sanasana atamuuliza sasa ungependa nikununulie aina gani nyingine?ila kama umedunduliza ni TERMINATION WITHOUT BENEFITS au RED CARD kwa wale wasiojua mambo ya Sheria.
 
Vile hajaumia sio kitu, kuhusu gari hamna mbaya taipeleka kwa fundi mchundo aigonge gongeee nimpatie na buku jelo ya mafuta ya taa ya kuchanganyia rangi ikitoka hapo mpyaa!
 
Mie niliwahi pitisha greda kwenye nyummba tuliyokuwa tunaishi Sinza, alisahau kuni-wish 'Happybirthday'

mbona alienda nunua nyumba masaki.
 
Angekuwa mke wa lofa asingepitisha greda kwenye nyumba akikumbukia kufunga mkanda ili kanyumba kajengwe! Kwanza greda linakodishwa, huyu watakuwa nalo greda la emergency wakikasirika wanabomolea vitu!
wewe wa ukweli dada,
angekuwa lofa mngefia nyumba za kupanga.
 
Angekuwa mke wa lofa asingepitisha greda kwenye nyumba akikumbukia kufunga mkanda ili kanyumba kajengwe! Kwanza greda linakodishwa, huyu watakuwa nalo greda la emergency wakikasirika wanabomolea vitu!
Hahahaha! Na siku akibomoa hiyo ya masaki anaenda kujengewa kwa Obama!
 
Haina noma atapanda daladala ili ajifunze!! kutochanganya break na eksileta.........
MP.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom