LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,457
Wazima wote?...
Naona mada ama 'stigma' ya hali ya juu kuhusu Single Mothers....
Leo labda tujadili upande wa pili wa shilingi
Mwanamke/Wanawake unawachukuliaje Single Fathers?Ni wakosefu wa adabu/maadili kuzaa kabla ya ndoa au wana roho njema kutunza watoto?
Unaweza kataa mwanaume kwa sababu ana mtoto kabla ya ndoa?
Huwa unajiuliza kwanini hajamuoa Baby Mama wake?..
Unaweza lea kwa mapenzi na usawa mtoto asie wa kwako?.
Vipi kuhusu mawasiliano na Mzazi Mwenzake?unachukuliaje na umejipangaje
Ukishapata na watoto wako je?..
Why Jamii inamuadhibu vikali mwanamke kuzaa kabla ya ndoa na si mwanaume?..
Karibuni Kuongezea points....nahimiza michango ya kujenga na mifano hai...kauli mbaya mjitahidi zisiwepo
Nawasilisha