Lets tak about SINGLE FATHERS...

LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,636
11,438
Wazima wote?...
Naona mada ama 'stigma' ya hali ya juu kuhusu Single Mothers....
Leo labda tujadili upande wa pili wa shilingi

Mwanamke/Wanawake unawachukuliaje Single Fathers?Ni wakosefu wa adabu/maadili kuzaa kabla ya ndoa au wana roho njema kutunza watoto?
Unaweza kataa mwanaume kwa sababu ana mtoto kabla ya ndoa?
Huwa unajiuliza kwanini hajamuoa Baby Mama wake?..
Unaweza lea kwa mapenzi na usawa mtoto asie wa kwako?.
Vipi kuhusu mawasiliano na Mzazi Mwenzake?unachukuliaje na umejipangaje
Ukishapata na watoto wako je?..

Why Jamii inamuadhibu vikali mwanamke kuzaa kabla ya ndoa na si mwanaume?..

Karibuni Kuongezea points....nahimiza michango ya kujenga na mifano hai...kauli mbaya mjitahidi zisiwepo

Nawasilisha
 
Kwa mimi ntadeal na hawa wakubwa wawili(wazazi)...mtoto naona aachwe aishi vizuri mana ni mtoto na kuzaliwa sio chaguo lake
 
Hakuna Jambo jipya chini ya jua. Kila single mom alitengenezwa na single dad,tofauti ni biology tu.mambo yamekuwa mengi mno siku hizi...shule,utafutaji ,uhuru wa makusanyiko.nk
Cha msingi kuwa mkweli tu kuwa kuna kitu fulani mahala fulani,usipollea mtoto wa mume utalea mama/baba yake,au nieces nk. Hii ni Afrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko hapa Mimi ni Single father!Na hii ilikua baada ya mama wa mwanangu kufariki kwa ajali tukiwa kwenye mchakato wa harusi!

Toka hapo naishi na mwanangu na dada wa kazi ambae pia tuna undugu

Na hili suala linanipa uzito kidogo kuhusu kuoa kutokana na ni ngumu sana kumpata mwanamke ambaye atampenda mwanangu kama mama yake kabisa!
 
uuuwiiiii pole mkuu
 
Pole mkuu..vuta subira utampata tu atakaye mjali mwanao japo sio kwa viwango vya mama yake but atamjali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Single father ni yupi?
Tufafanulie.

Wazima wote?...
Naona mada ama 'stigma' ya hali ya juu kuhusu Single Mothers....
Leo labda tujadili upande wa pili wa shilingi

Mwanamke/Wanawake unawachukuliaje Single Fathers?Ni wakosefu wa adabu/maadili kuzaa kabla ya ndoa au wana roho njema kutunza watoto?
Unaweza kataa mwanaume kwa sababu ana mtoto kabla ya ndoa?
Huwa unajiuliza kwanini hajamuoa Baby Mama wake?..
Unaweza lea kwa mapenzi na usawa mtoto asie wa kwako?.
Vipi kuhusu mawasiliano na Mzazi Mwenzake?unachukuliaje na umejipangaje
Ukishapata na watoto wako je?..

Why Jamii inamuadhibu vikali mwanamke kuzaa kabla ya ndoa na si mwanaume?..

Karibuni Kuongezea points....nahimiza michango ya kujenga na mifano hai...kauli mbaya mjitahidi zisiwepo

Nawasilisha
 
Shukrani Mkuu!

Tunapambana hivyo hivyo!
Kila la kheri kaka muda ndio msemaji yamkini kuna siku moyo wako utapata amani pengine na mkawa familia yenye furaha, zidisha ibada maana apatae mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa Bwana, pia mke mwema anatoka kwa Bwana hivyo fanya ibada sana na uwe karibu sana na Mungu akuonyeshe njia zaidi na zaidi...... nachoamini ipo siku huyo dada wa kazi atahitaji kua na mji wake je itakuaje kwa mtoto na wewe? maandiko yanasema heri kua wawili kuliko kua mmoja maana wapata ijara njema samahani nime egemea maandiko ya upande flani ndio naoujua zaidi Barikiwa
 
Shukrani Mkuu kwakunitia moyo na wala usijali kuhusu maandiko mi mwenyewe ni wa upande huo huo!

Natambua kweli ipo siku dada yake naye atahitaji kuwa na familia yake,na ukweli nimeshajaribu kuingia kwenye mahusiano kadhaa lakini pale ninapooana ninayekua na mahusiano naye hana mapenzi na mwanangu huwa uhusiano haufikagi mbali,

Naendelea kumuomba Mungu naamini ipo siku atanijalia mke mwema!
 
Niko hapa Mimi ni Single father!Na hii ilikua baada ya mama wa mwanangu kufariki kwa ajali tukiwa kwenye mchakato wa harusi!

Toka hapo naishi na mwanangu na dada wa kazi ambae pia tuna undugu

Na hili suala linanipa uzito kidogo kuhusu kuoa kutokana na ni ngumu sana kumpata mwanamke ambaye atampenda mwanangu kama mama yake kabisa!
Pole mkuu.

Amen kaka angu Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo akutendee mema
 
Pole sana bebee, usijali nitamlea tu bebee
Niko hapa Mimi ni Single father!Na hii ilikua baada ya mama wa mwanangu kufariki kwa ajali tukiwa kwenye mchakato wa harusi!

Toka hapo naishi na mwanangu na dada wa kazi ambae pia tuna undugu

Na hili suala linanipa uzito kidogo kuhusu kuoa kutokana na ni ngumu sana kumpata mwanamke ambaye atampenda mwanangu kama mama yake kabisa!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom