wewe huna mtoko tonight ndo maana umeharibu, it's obvious.
Hahahaha ! Ishachakachuliwa kitambo Smiling Saint !mh! hii thread kuliko irudi tena bora ichakachuliwe ama iondolewe na mods, good job Kongosho, sweetlady, BADILI TABIA na woote mlioipinga hii sredi
Marudio! Ilikuwepo kwa kiswahili! Samahani kama ntakuwa nimeharibu!
Nenda kozi ya kiinglish sio kutuharibia ustaarab hapa ebo!
Nenda kozi ya kiinglish sio kutuharibia ustaarab hapa ebo!
Hehehe! Mie hata nisiposema najua unajua kuwa nakupendaga Asprin !Hahahahahahahaaaa!
Hehehejhehehehehehe!
sweetlady bana.... ndo maana nakupenda
Kongosho bana...... ndo maana nakuzimia
BADILI TABIA bana..... ndo maana nimekuwowa.
dah afadhali nimekuona babu Asprin, nilikuwa naomba unisaidie list ya wajukuu zako ambao wako singo na hujawakagua, ili nijichagulie huko maana hawa wengine ni kutafutana ugomvi na watu kama yaliyonikuta kwa Nicas Mtei na BAGAH kisa Smile!