Let's Debate women vs men

I do agree with you ............kuwa siyo kila wakati una base on sex...there some other issues we can discuss ilikuweza kupanua mawazo...!....

Thanks!

xoxo

Sema wewe ......
 
Last edited by a moderator:
Mara ooh huyu mpenzi wangu vile, sijui hivi...wewe hukufundwa kwenu? Jifunze kuhandle issues zako, jifunze privacy. Au una pepo...? maana umeshadeclare unapenda mapenzi...
We dare to talk openly, that is JF´s moto. Hapa hamna cha kufundwa wala kufungwa. Wewe poromosha linalokusibu upate dawa, kama huna hongera.
 
Msameheni tu kwa bure, no life without love, kateleza tu. But huyo aliye kuswalisha mbona naona kama kinyume chake ndo sawa?

Wadada wengi wakizungu hutukimbilia niger kwamba mambo yetu ndo swafi, they like it in a strong way, na si unajua we are strong enough,

Like wise wa lady wa kimatumbi, nani asiye jua kiuno bila mfupa? acha bwana dada zetu ni watamu san, na wanajua kujishghulisha siyo kupiga kelele huku wameegesha ka gogo!
 
nakuunga mkono na mguu!
 
Babu wee hebu tuachege na wewe! kinachokusumbua ni nini sasa, kila mtu na fani ndugu, mimi ni mpenzi wa mapenzi na siasa yote iliyomo naifahamu. Sioni tatizo kama ndio relection ya tabia yangu, ni kweli napenda mapenzi kama wewe unavyopenda siasa. Hebu tukomege babu.

Penny asante kwa kudhihirisha nini unakipenda ,hivyo ndivyo inavyotakikana katika maisha ya kileo mwamke aseme nini anachokihisi moyoni wake. au anachotaka afanyiwe na mpenzi wake.sasa ningependa kukuliza 1)what is your fantasy? inapokuja hii topic ya mapenzi.
 
Babu wee hebu tuachege na wewe! kinachokusumbua ni nini sasa, kila mtu na fani ndugu, mimi ni mpenzi wa mapenzi na siasa yote iliyomo naifahamu. Sioni tatizo kama ndio relection ya tabia yangu, ni kweli napenda mapenzi kama wewe unavyopenda siasa. Hebu tukomege babu.
wewe mapenzi unayaweza? au ndio wale wale kama gogo....
 
Nilikuwa kwenye semina fulani, mzungu akawa anaongelea African culture. Tulimpiga maswali hadi akashindwa kuendelea. Wazungu wana tabia mbovu kudhani kwamba waafrica wote tunafanana. So hata huyo alichoambiwa na wanaigeria hakupaswa kugeneralize kwa waafrika wote
 
Unaposema mtu hajui mapenzi unatakiwa useme hajui kwa kiwango gani na kwa mujibu wa nani.
'
Pia ueleze mapenzi ni kitu gani,kwani naamini humu watu wanaelewa tofauti
'
Kudai tu mtu hajui mapenzi bila kusema ni kitu gani unachozungumzia na huo ujuzi unaodai mwingine hana ni wa kiwango gani na ni kwa mujibu wa nani ni jambo lisilokuwa na mantiki
'
Hao wote wanaolalamika bila kusema na kufafanua wao ndo wenye tatizo!
 
Icadon my dear ........kumbuka huyu aliyeniuliza siyo mwanamke............. wa kiafrika ni mmarekani......ana marafiki wa kinigeria na liberia na wao ndiyo walivyomwamboa hivyo kuhusu wanawake wa kiafrika walivyo conservatives na ..............kwamba not good when it comes to sex na hiyo comment.................. imetoka kwa mwanaume wa kiafrika..........so ametoka hapo akaenda kuuliza wanawake aweze kupata ..............their point of view akapewa negative comment about them....so anauliza what is the deal with both gender (africans)..................

Huyo mmarekani mwambie akusanye data kwa vitendo aone ukweli uko wapi ajionee mwenyewe asikusanye data za mdomo tu.
 
Unapozungumzia mapenzi that's broad word so plz b specific ni mapenzi gani unayzungumzia hpa?
 
Back
Top Bottom