Amesema wamefika 10% ya wabunge hamsini.....hahahahah...Chezea mnafiki zito wewe
Zitakuwa nguvu za kubebea vyuma, nguvu za ushawishi wa kisiasa hanaLeticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.
Vipi og umeshahamia chadema .kama bado unangoja nini ?? Utabaki mwenyewe ccm hapo meru.usione aibu tutangazie rasmi jf sasa huko chademaLeticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.
Hiyo ndiyo Demokrasia.
Hiyo ndiyo Demokrasia.
Haaa haaa halafu mbunge pekee aliyekwenda ACT ni mbunge mwenye laana ya kumpga Baba yake mzazi,kamfukuza kwenye nyumba aliyokuwa akiishi naye,kutupa nguo zake pamoja na pichu hadharani kesi iko mahakamani ana subiri kufungwa tu.
Kama kuhama chama kunaleta chuki basi CCM hakuna Demokrasia.Jingine kama Leticia ana nguvu kule mkoani Mara basi azitumie kulima na kuongeza ulinzi dhidi ya wezi wa mifugo na mapigano ya kikabila.Kama alikuwa na nguvu kisiasa basi angekuwa mbunge kupitia jimbo kama iron lady Halima Mdee!Leticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.
nimecheka almanusura kuchana mbavu !Leticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.
Nimepata taarifa kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu aliyepo Dar es Salaam, ameniambia kwamba Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Leticia Nyerere, amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Tangu awali mbunge huyo alisakamwa na maneno mengi kutoka kwa viongozi wa Chadema akiwemo kwamba aachane na ubunge ndani ya Chadema ili ajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuliko kuendelea kukipigia debe chama hicho akiwa upinzani.
Hata hivyo, mbunge huyo anadaiwa kufanya matendo ya kujipendekeza kwa CCM kabla ya kujiengua na chama chake cha awali.