Leticia Nyerere atimkia CCM

Leticia Nyerere atimkia CCM

Si wanasema kadanja au
Kuna jamaa anajiita lost id alikuja na hizo habari
 
Nimepata taarifa kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu aliyepo Dar es Salaam, ameniambia kwamba Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Leticia Nyerere, amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Tangu awali mbunge huyo alisakamwa na maneno mengi kutoka kwa viongozi wa Chadema akiwemo kwamba aachane na ubunge ndani ya Chadema ili ajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuliko kuendelea kukipigia debe chama hicho akiwa upinzani.

Hata hivyo, mbunge huyo anadaiwa kufanya matendo ya kujipendekeza kwa CCM kabla ya kujiengua na chama chake cha awali.
Jamani nyie mbona waongo ivo...mimi nilimuona na kumsikia kw macho yangu mwenyewe kua ametoka cdm na kurudi ccm kabla ata ya ucjaguzi na kabla ya kampeni..sasa leo mnasema katoka jqna ACHENI KUONGOPEA WATU..
 
Leticia alitoka muda mrefu cdma kabla ata ya kura za maoni kuaza..na sio kua maetoka jana wala mwezi uliopita ni kama miezi mitatu km sio nne toka aondoke..na sio mbunge..Sasaivi ni mgonjwa mahututi yupo hosptali ya Doctors Community ipo maryland-marekani....MPUUZENI UYO ALIESEMA ETI MBUNGE WA CDM KAHAMIA CCM...labda aseme aliekua mbunge kw vti maalumu ktk bunge lililopita na katoka baada tu ya kumalizika bunge la kumi la JK
 
Back
Top Bottom