Nimepata taarifa kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu aliyepo Dar es Salaam, ameniambia kwamba Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Leticia Nyerere, amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Tangu awali mbunge huyo alisakamwa na maneno mengi kutoka kwa viongozi wa Chadema akiwemo kwamba aachane na ubunge ndani ya Chadema ili ajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuliko kuendelea kukipigia debe chama hicho akiwa upinzani.
Hata hivyo, mbunge huyo anadaiwa kufanya matendo ya kujipendekeza kwa CCM kabla ya kujiengua na chama chake cha awali.
Good riddance Leticia; japo umekawia sana, you never belonged to the revolutionary train; nashangaa kwa nini hakuenda TADEA; afterall birds of the same feather fly together; JOHN MAGALLE SHIBUDA !!!
Karibu nyumbani mama
Siku zote Maji hayakai na mafuta.Huyu dada anaenda kutumika tu huko CCM.
Hakuna jipya atakalopata na sana sana hata ubunge hatapata.
Makongoro Nyerere alimwabia aache kulitumia jina la Nyerere ndo maana kaamua aende ccm
hakuna mtoto wa nyerere anaeitwa leticia hyo tapeli wa kisiasa
Hana lolote huyu mama and inawezekana hata wana Mara hawafahamu Kama ni mwakilishi wao.Leticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.
Siku zote Maji hayakai na mafuta.
Ndugu yangu Leticia nyerere alikuwa Mke wa kaka yake Makongoro Nyerere ambaye walishachana miaka 15 iliyopita
. Kumbuka Juzi tu. Makongoro alimwambia Leticia Aache kutumia jina la nyerere kwa sababu undugu wao ulishakufa miaka 15 iliyopita.alimshauri atumia jina la Mume wake wa sasa.
Hamna kitu kama hicho!!
Aende CCM kwa tumbo lake atusumbue sisi?
Mbunge gani huyo mkuu? maana wamehamia watatu toka CDM na Moses Manchali wa NCCR(Huyu alikuwa na Mgogoro na viongozi wake wa either wilaya au TVmko
Mwizi yuleKwa Leticia hiyo ndo demokrsia....kwa Lowassa kuja Chadema siyo demokrasia?