Leticia Nyerere atimkia CCM

Leticia Nyerere atimkia CCM

​Kwani hajasikia kilichowapata kina Pindi Chanaaa, D. Chilolooo na wenzio kina Shamsa Mwangungaaaaa
 
Anaogopa CDM tutakapo kamata nchi na bunge tutatupilia mbali vitu cjui viti maalum (hivi vitu maalum ni vya wagonjwa au)huu mfumo na kuichukua katiba pendekezwa ya Warioba. Hana msaada CDM sisi wenyewe tungemng'oa kama asingesoma alama za nyakati kama shibuda
 
Leticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.

Yeye kama nani? Makongoro Nyerere mtoto wa damu wa Nyerere aliwahi kuhama ccm akaenda Nccr mbona familia ya mwalimu haikujenga uadui na ccm sembuse huyo mkwe, shemeji!! Ongea point nyingine lakini sio hiyo.
 
Leticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.

ana nguvu ipi sasa? kama ana nguv agombee ubunge na si kusubiria nafasi za upendeleo!
 
hivi viti maalumu vifutwe tu kwa sababu havina tija ona sasa hata huyu zoba nae anaitwa mbuge hatujui hata ni nani alimpigia kura anataka kutuhamisha kwenye mada muhimu za ukawa eti tumjadili yeye ubuuzi kabisa.
 
Leticia Nyerere ndio alikua nani?mi namjua esther bulaya na lembeli
 
Leticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.

Ndugu yangu Leticia nyerere alikuwa Mke wa kaka yake Makongoro Nyerere ambaye walishachana miaka 15 iliyopita
. Kumbuka Juzi tu. Makongoro alimwambia Leticia Aache kutumia jina la nyerere kwa sababu undugu wao ulishakufa miaka 15 iliyopita.alimshauri atumia jina la Mume wake wa sasa.
 
Nimepata taarifa kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu aliyepo Dar es Salaam, ameniambia kwamba Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Leticia Nyerere, amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Tangu awali mbunge huyo alisakamwa na maneno mengi kutoka kwa viongozi wa Chadema akiwemo kwamba aachane na ubunge ndani ya Chadema ili ajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuliko kuendelea kukipigia debe chama hicho akiwa upinzani.

Hata hivyo, mbunge huyo anadaiwa kufanya matendo ya kujipendekeza kwa CCM kabla ya kujiengua na chama chake cha awali.
Ndugu yangu Leticia nyerere alikuwa Mke wa kaka yake Makongoro Nyerere ambaye walishachana miaka 15 iliyopita
. Kumbuka Juzi tu. Makongoro alimwambia Leticia Aache kutumia jina la nyerere kwa sababu undugu wao ulishakufa miaka 15 iliyopita.alimshauri atumia jina la Mume wake wa sasa.
 
Leticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.

Umekosea sana kwani hata ukoo wa Nyerere wenye hawampendi ndiyo maana hata Makongoro alimkataza kutubia jina la Nyerere.
 
Huyu si yule mama aliyekuwa mbunge lakin maisha yake yote yalikuwa kule Silver Spring, Washington DC. Huyu alikuwa anakuja huko Tz wakt wa shughuli au kuhudhuria Bunge tu lakin akimaliza alikuwa anarudi DC.

Hongera mama labda sasa ugombee ubunge kwa viti vya Diaspora.
 
Kweli nimeamini hakuna anayemwamini Zitto Kabwe.Said Arfi kagoma kwenda ACT,Shibuda hataki kusikia jina la Zitto huyu bi Pekupeku Leticia karudi nyumbani sasa wale wabunge 50 aliodai watajiunga ACT walikuwa ni maruani au majini ya Kigoma Mwandiga.

Amesema wamefika 10% ya wabunge hamsini.....hahahahah...Chezea mnafiki zito wewe
 
Ishu iko hivi

CHADEMA ina mfumo wa kila mbunge kuchangia chma kila Mwezi

Hawa mnaowaona sasa wanaondoka hawakuwa wakichangia chama...Hivyo wanajua kabisa hawawezi kuteuliwa na chama katika huo ubunge wa viti maalum...Hivyo wanaamua kujisogeza mapema.......
 
Back
Top Bottom