Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

Kumbe Mshana ulikula "utawa" miaka 5 , utakuwa na mengi ya kusimulia . Ndio maana nyuzi zako zina falsafa ya kufa mtu . Hivi nidokezee !ni kweli kuna Mungu anaesema usioe ili ufanye kazi yake vizuri ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point of no return haipo kwenye upadre tu, ipo kwenye Sakramenti nyingine zote.

Kwa mfano, ndoa ya Kikatoliki haifunguliwi popote. Mkishafunga ndio imetoka, mpaka kifo kiwatenganishe.

Maana yake, the moment mnapofunga ndoa, mnakuwa mmeingia kwenye point of no return.
 
Nilidhani umekuja na kipya zaidi ya yale ambayo yamejadiliwa sana humu kuhusu hao Jesuits. Kumbe hujagusa hata robo ya mambo ambayo yamejadiliwa humu kuwahusu hao Jesuits. Tumejadili mengi sana na hamna hata mmoja aliyetishwa au kuuawa, nakushangaa wewe kutaja tu Jina Jesuits eti unatetemeka.

Inaonekana wewe ni mgeni hapa JF, jaribu kupitia nyuzi za miaka ya nyuma utapata nondo nyingi na nzuri kuwahusu hao humuhumu......
 
Kuhusu ndo kuna exceptions, sio kila ndoa haiwezi kuvunjwa,,,,,,,,,zipo zinazovunjwa...
 
Aliyebariki UTUME wa Muhamadi ni padre, abishe Faiza ili tulete ushahidi. RC ni noumer, they are the one running this world

yap.
mnestory (syriac Christian Hawa ni eastern Christians ambao walikuwa hawaripoti Kwa askofu wa Roma ) mzee waraqa. ameelezea vzr hii story hadithi ya Buhari.
 
Umeona swali nililouliza au hujaliona unajitutumua tu?

Kama umeliona nnakushauri kalisome t na kisha ujibu swali. Kama hujaliona nnakushauri isome post uoiyoijibu kwanza kabla hujakurupuka. Sikiliza...

Swali lilikuwa nje ya mada, nilikuwa nakurudisha madani. Asante pia Kwa pachiko la picha mtembeo zisizohusiana na mada.
 
Umeona swali nililouliza au hujaliona unajitutumua tu?

Kama umeliona nnakushauri kalisome t na kisha ujibu swali. Kama hujaliona nnakushauri isome post uoiyoijibu kwanza kabla hujakurupuka. Sikiliza...

sijibu kila kitu ninamipaka mkuu.
najibu yanayohusiana na kinachojadiliwa na nilichokoment.
oanisha swali na mada ili nikujibu Maana havihusiani. ulitakiwa utoe ufafanuzi wa comments zangu kuhusu padri shehe sio kuleta clips na mambo mengine.

nashukuru Kwa kuelewa ustaadhat
 
Video clip ni ya aliyekuwa padri kawa Sheikh. Si ndicho unachokitaka?

Cha ushoga na kulawitianq na was on o wadogo umekikwepa.na ambacho kimezungumzwa.mpaka na Umoja wa Mataifa (UN) sikushangai inawezekana nawe ni "victim of circumstances"
 
Uliisha wahi kusikia au kuona au hata kusoma kwenye maandishi ya Dr. Wilbrod Slaa akijitambulisha kama Padree/askofu etc? Sio kama sikubaliani na ulicho kiandika but Napata mashaka kidogo cause binafsi sijawahi kuona, na watu wa kwanza kunizindua kuhusu upadree wa katibu mkku yule wa Chadema ni Waislamu Enzi hizo ile vita ya ufisadi imepamba moto na hasa hasa baada ya yeye kugombea uraisi kwa uchaguzi mkuu wa 2010, before nimesoma sana maandishi yake kama ambavyo nilikua nayasoma maandishi ya Kalugendo but sikuwahi kuona akijitambulisha hivyo Dr. Slaa but Kalugendo alikua akifanya hivyo; Bahati mbaya sasa hvi sio msomaji sana wa magazeti (kipindi ambacho Privatus Kalugendo kaoa ) so sina hakika kama bado padre Kalugendo bado anaandika na kama bado anaandika, sijui kama bado anatumia hicho cheo chake cha upadree, sina hakika kwa kweli
 
Nimejifunza na kuishi utawa kwa miaka 5 na kukamilisha hatua mbili muhimu... Hatua ya tatu ndio ingekuwa a point of no return! Ningeifanya ile sijui leo hii ningekuwa wapi[emoji848][emoji144]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hmmm. We umefanya mambo mengi ati...Mara mochwari..coz hizi za upadrii.duuh
Na kilingeni.thou upande wangu I ana nimemuamini mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaota..hujui chochote. Kaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks kwa kunifafanulia....
Ndoa zinazofanywa kuwa batili ni zile ambazo zinakuwa hazijahusisha tendo la ndoa baada ya kuwa mambo mengine yote yametimia.

Mambo mengine kama kulazimishwa, shida za magonjwa, uzazi, ndugu, jamaa na marafiki, n.k. hutatuliwa kabla ya kufungwa kwa ndoa Kanisani.

Sakramenti haiondolewi kwa dhambi. Padri akifungiwa kutoa huduma haondolewi upadre, bado anaruhusa ya kutoa huduma, kama padri, kwenye mazingira fulani fulani.

Once a priest, forever a priest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…