Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Ilishafanyagwa hii huko zanzibar kulikuwa na leseni maalum za kunywa pombe.Habari !
Naomba kuuliza,
Hivi ikitokea siku TRA wakawatoza kodi wanywaji wa vileo hapa nchini inaweza kuwa ni wazo zuri, bora na njia nzuri ya kuzuia wimbi kubwa la unywaji wa pombe na vileo kiholela?
Kwamba iwe kwa kila mpenda unywaji pombe au kileo sharti awe na Leseni ya yake ya kugida;
1. Kiwango cha unywaji ( Idadi)
2. Aina za pombe (Ubora)
3. Unywaji wa kimataifa ( Vileo vya nje).
Sijui, watu wataweka wapi sura zao.
Karibu.
Asante rafiki.Ilishafanyagwa hii huko zanzibar kulikuwa na leseni maalum za kunywa pombe.
Ukinunua ulipie; raha ya wewe kulewa ndio tunataka ulipie.Acha bangi dogo kwamba
Haaaaahaaaaa !Wanywa soda mna roho mbaya sana ndio maana hata Yesu hakufanya muujiza wa kugeuza maji kuwa soda bali aligeuza kuwa mvinyo 😏😏
Hiyo ni Yako Mkuu?
NdioHiyo ni Yako Mkuu?
Duuh chukua maua Yako!Ndio
Mbona wanatoza sana tangu kitambo,Habari !
Naomba kuuliza,
Hivi ikitokea siku TRA wakawatoza kodi wanywaji wa vileo hapa nchini inaweza kuwa ni wazo zuri, bora na njia nzuri ya kuzuia wimbi kubwa la unywaji wa pombe na vileo kiholela?
Kwamba iwe kwa kila mpenda unywaji pombe au kileo sharti awe na Leseni ya yake ya kugida;
1. Kiwango cha unywaji ( Idadi)
2. Aina za pombe (Ubora)
3. Unywaji wa kimataifa ( Vileo vya nje).
Sijui, watu wataweka wapi sura zao.
Karibu.
Sasa unakuwaje mlevi huna leseni ya kuonyesha wewe ni mlevi uliesajiriwa na nchi inatambua mchango wakoMbona wanatoza sana tangu kitambo,
Iko hivi kila kinywaji unachonunua tayali washaweka kodi humo, labda kama unaongelea Kodi ya kusachi watu mifukono ,hiyo bado ndio iko jikoni sasa
Hii ni full permit unakunywa pombe yoyote mahala popote na muda wowote
ExactlyHii ni full permit unakunywa pombe yoyote mahala popote na muda wowote
Kabisa kijana wetu wa rauHii ni full permit unakunywa pombe yoyote mahala popote na muda wowote
Kodi inakatwa huko huko viwandani,,lakini ata wanywaji wanakatwa kodi flan inaitwa[kodi usiyoihisi!! aka INDIRECT TAX!!Habari !
Naomba kuuliza,
Hivi ikitokea siku TRA wakawatoza kodi wanywaji wa vileo hapa nchini inaweza kuwa ni wazo zuri, bora na njia nzuri ya kuzuia wimbi kubwa la unywaji wa pombe na vileo kiholela?
Kwamba iwe kwa kila mpenda unywaji pombe au kileo sharti awe na Leseni ya yake ya kugida;
1. Kiwango cha unywaji ( Idadi)
2. Aina za pombe (Ubora)
3. Unywaji wa kimataifa ( Vileo vya nje).
Sijui, watu wataweka wapi sura zao.
Karibu.
Umefikiria na kuhusu wazinzi,wasrngenyaji,wezi/mafisadi na mashoga wafanyweje ili waache au kudhibitiwa tabia zao?Habari !