TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

Hakika kila nafsi itaonja mauti, ila huyu kaonjeshwa mauti. Hii hali haikuwepo hapo zamani. I wonder why inashamiri sana sasa hivi.
 
Watekaji wanataka hela kutoka EU kwa ajili ya uchaguzi nini? Tuko pamojA nao ndg wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote.
Nalog off
 
Kuna wakatyi inabidi tufunge mibakuli yetu katika mambo mengine,maana kufunua bakuli ni hatarui sana kutegemeana na kizazi kinachoendelea.
Inna lilah wainna ilayh raajiun.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…