Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

Nitaona haja ya kuwatetea nikiacha kuwaona baa na dada zetu mpaka usiku wamanane, nadhani hata owner wa tours arusha wanawalegezea mno.
Ukienda mto wa mbu utakuta dreva wa leopard tour wanakata Serengeti na shoti uku wakijiona wana dollar za kutosha, apo utakuta msululu wa Land cruiser za leopard tour.
Nenda jioni jion mpaka usiku wa manane pale karatu kabla ya kuelekea ndani ngorongoro utakuta hakuna parking yani gari kama 30 wanakula bia.
Huwa najiuliza ivi wenye tour companies wakoje mpaka gari zizagae kiasi iki uku usiku wa manane zinageuka gesti bubu?
Mleta mada ukifika arusha kabla ya kuingia mbuga ya wanyama sehemu ya mto wa mbu, ....nenda karatu baa zinazowika kama carnivore, jack pub , pub la mote uone fujo za hizi gari zikiwa baa.
Alaf dreva wenyewe wajeuri mpaka basi, yani kukuta amepaki barabarani ni kawaida tu....kuna siku nimekutana na leopard tour kaziba njia, nilivoomba kupita kwa kuwasha taa akawa hana time anapiga story, nilivojaribu kutafuta upenyo pemben kufika kwenye dirisha lake "alitukania kiungo cha uzazi" hasira zilipanda nkageuza GARI, kuona vile akaanza kukimbia nilimtoa mita mitaani karatu akazunguuka later tukatokea njia ya NBC karatu akaingia road spidi ya ajabu ...akapotelea kile kona ya mbulu, ana Bahati naingia road tu nkakutana na Lori, vinginevo ningemkata ulimi.
Kiukweli izi kampuni za tour pamoja na dreva wa dfp, ni wajeuri sana wakati maisha yao ya kawaida,
Mleta mada, wafunze kwanza how life goes kabla hujawaleta uku jf.
Bobby tour drivers wako smart ila ukikutana na wa leopard ww tafta njia nyingine.
Nimekuwa tarangire for long duration, nimeenda mara non countable trips, karatu pia mara nyingi, kwa life style ya Hawa madreva bado naona mwajiri wao hawabani na bado hajawa serious nao.

Wewe ni muongo,chuki binafsi, pia..labda walikukombea kamzigo kako.sema ukweli.maana watu wa ar bifu zenu ni hizo zaidi.
Ndio maana kila uchao tunasikia story za kujilipua tu.

Pia wewe binafsi unahudhuria sehemu zoote unazodai kuwakuta.hivyo na wewe kama wao tu no different ....alafu uongo wako huu ni kwamba gari zote leopard tours zina kifaa maalumu cha kufuatilia mwenendo wa gari 24hrs.(car tracking system).

Pia hizo bar unazotaja una uhakika kwamba zina uwezo wa kuwa na eneo la kupaki land cruiser long cabins 30??????????

Huwezi kuta gari zao eneo ambalo si official destination.

Labda kama huifahamu lpd tours au unaongelea enzi za ujana wako.?😱:thumbdown:
 
Ni kweli porojo ni nyingi, ni kweli hawa madereva waizi, kweli wameghushi risiti za serikali, na ukiongea nao wenyewe wanakiri kabisa ni kama madereva kumi tu hawajafanya huo wizi, sasa nashangaa wanalalamika nn hapa
Haina ukweli wowote ndio maana unaona porojo zinakuwa nyingi kuliko facts ...

Madereva wametuhumiwa kuiba, badala ya kujibu hoja wanayotuhimwa kwayo, wanakuja na tuhuma nyingine mpya dhidi ya mtuhumu.
 
Jmn hawa kweli wameiba, wote tuliopo ktk tourism industry hapa arusha hata na wao wenyewe ukiongea nao wanakubali wameiba, kuna kijana anaitwa God anayo stationary pale bima ndo alikua akiwatengenezea hizo risiti fake na ndo kakamatwa na madereva wawili walokua ndo vinara wa hili jambo, shangaen mtu ufanyiwe unyanyasaji wote huo kwann hawaachi kazi wakaenda kampun nyingine bali wanapang'ang'ania hapo leopard tu kama hawana maslah mengine??
Inaonekana hawa wana matatizo ya muda mrefu bt wote walikua kimya. Sasa ili limetokea ndo na yale mengine wanaya jumuisha apa. Itakua ngumu kupata utatuzi

Bora wangewa shughulikia ili kwanza cse itakua ngumu mtu kuvumilia kukatwa mshaara eti mpaka deni litakapo isha! Na uyu mtu alivyo kweli atawakata na awawezi kufanya lolote.

Shida ya nchi yetu, serikali haitoi ajira sasa wakina fazal na ajiira zao wataachaje kuwa na kiburi na kuwafanya watu wanavyo taka?? Wakati ata awa viongozi wetu wanaponea uko na shida zao???!!!
 
ndugu nasikitika kuona ulivopoteza mda mwingi kuandika upuuzi maana umejichanganya mara umeandika unalipwa kidogo ndio maana unashawishika kuiba. at the same tym unaandika hujagushi risiti, sasa tushike lipi? kuandika maneno mengi yasiyokua na msingi hayatakusaidia...je yote haya yamezuka baada ya wewe kukamatwa na risiti za kugushi? siku zote ulikua huyaoni hayo ya matairi, mama wa kifaransa, allowance na pia hukushikwa kwa nguvu kufanya kazi hapo kwahyo una uhuru wa kwenda kufanya kazi huko thompson na kibo uone kama wanakubaliana na huo ujing unaousema, kweli huna kazi ya kufanya....!!!!!
 
Nitaona haja ya kuwatetea nikiacha kuwaona baa na dada zetu mpaka usiku wamanane, nadhani hata owner wa tours arusha wanawalegezea mno.
Ukienda mto wa mbu utakuta dreva wa leopard tour wanakata Serengeti na shoti uku wakijiona wana dollar za kutosha, apo utakuta msululu wa Land cruiser za leopard tour.
Nenda jioni jion mpaka usiku wa manane pale karatu kabla ya kuelekea ndani ngorongoro utakuta hakuna parking yani gari kama 30 wanakula bia.
Huwa najiuliza ivi wenye tour companies wakoje mpaka gari zizagae kiasi iki uku usiku wa manane zinageuka gesti bubu?
Mleta mada ukifika arusha kabla ya kuingia mbuga ya wanyama sehemu ya mto wa mbu, ....nenda karatu baa zinazowika kama carnivore, jack pub , pub la mote uone fujo za hizi gari zikiwa baa.
Alaf dreva wenyewe wajeuri mpaka basi, yani kukuta amepaki barabarani ni kawaida tu....kuna siku nimekutana na leopard tour kaziba njia, nilivoomba kupita kwa kuwasha taa akawa hana time anapiga story, nilivojaribu kutafuta upenyo pemben kufika kwenye dirisha lake "alitukania kiungo cha uzazi" hasira zilipanda nkageuza GARI, kuona vile akaanza kukimbia nilimtoa mita mitaani karatu akazunguuka later tukatokea njia ya NBC karatu akaingia road spidi ya ajabu ...akapotelea kile kona ya mbulu, ana Bahati naingia road tu nkakutana na Lori, vinginevo ningemkata ulimi.
Kiukweli izi kampuni za tour pamoja na dreva wa dfp, ni wajeuri sana wakati maisha yao ya kawaida,
Mleta mada, wafunze kwanza how life goes kabla hujawaleta uku jf.
Bobby tour drivers wako smart ila ukikutana na wa leopard ww tafta njia nyingine.
Nimekuwa tarangire for long duration, nimeenda mara non countable trips, karatu pia mara nyingi, kwa life style ya Hawa madreva bado naona mwajiri wao hawabani na bado hajawa serious nao.

Kweli kabisa...nakubaliana na wewe
 
Hivi wewe unaandika kwa kutumia akili yako au sehemu fulani ya mwili? Unauliza eti mbona yeye peke yake wewe ulitaka waandike wangapi ndio uone kuna tatizo? Paza sauti swali hilo ni la kupuuzi sana ina maana hata Nyerere alivyoenda kudai uhuru angeulizwa mbona umekuja UN mwenyewe watanganyika wengine wako wapi? Kila mahali lazima awepo mmoja kwanza wa kuongoza wenzie...... Au kuna mahali hapa umeona pana option ya wao kuandika kwa pamoja
 
Mussa Allan wamekuja na tuhuma maana wao na bosi wao wako njia moja labda....
 
Kwa hiyo kwako bugaloo casino njiro ndio kila kitu?:thumbdown:

Laki si Pesa kama huna cha kuandika kaa kimya unawezaje kutaja mali ya mtu mwingine kuwa ni ya Fadhal? Halafu sio bugaloo ni Bougaloo na ni mali ya Seif wala sio Fadhal...... Pia anaitwa Fadhal na sio faisal hujui kaa kimya
 
ndugu nasikitika kuona ulivopoteza mda mwingi kuandika upuuzi maana umejichanganya mara umeandika unalipwa kidogo ndio maana unashawishika kuiba. at the same tym unaandika hujagushi risiti, sasa tushike lipi? kuandika maneno mengi yasiyokua na msingi hayatakusaidia...je yote haya yamezuka baada ya wewe kukamatwa na risiti za kugushi? siku zote ulikua huyaoni hayo ya matairi, mama wa kifaransa, allowance na pia hukushikwa kwa nguvu kufanya kazi hapo kwahyo una uhuru wa kwenda kufanya kazi huko thompson na kibo uone kama wanakubaliana na huo ujing unaousema, kweli huna kazi ya kufanya....!!!!!

Mnapoandika na nyie wakati mwingine mshirikishe ubongo huko Thomson na Kibo kungekuwa na nafasi wangeshaenda huko hiyo inaonyesha kuwa ajira ni ngumu na unapopata unatetea haki yako sio unakimbia... So leo tunavyotolea mifano mataifa mingine ina maana unataka kutuambia tuhame nchi? Jaribu kushirikisha ubongo unapoandika... Hawajashikwa kwa nguvu lakini haki ya mfanyakazi ipo ndio maana kwenye katiba imeweka na kwenye sheria za nchi pia
 
...Achana na huyo mburura !!!
 
Laki si Pesa kama huna cha kuandika kaa kimya unawezaje kutaja mali ya mtu mwingine kuwa ni ya Fadhal? Halafu sio bugaloo ni Bougaloo na ni mali ya Seif wala sio Fadhal...... Pia anaitwa Fadhal na sio faisal hujui kaa kimya

...Huyo Farasi hata punda wanajuwa !!
 
Wewe ni muongo,chuki binafsi, pia..labda walikukombea kamzigo kako.sema ukweli.maana watu wa ar bifu zenu ni hizo zaidi.
Ndio maana kila uchao tunasikia story za kujilipua tu.

Pia wewe binafsi unahudhuria sehemu zoote unazodai kuwakuta.hivyo na wewe kama wao tu no different ....alafu uongo wako huu ni kwamba gari zote leopard tours zina kifaa maalumu cha kufuatilia mwenendo wa gari 24hrs.(car tracking system).

Pia hizo bar unazotaja una uhakika kwamba zina uwezo wa kuwa na eneo la kupaki land cruiser long cabins 30??????????

Huwezi kuta gari zao eneo ambalo si official destination.

Labda kama huifahamu lpd tours au unaongelea enzi za ujana wako.?😱:thumbdown:

...jomba huyo hana majani !!!
 
Back
Top Bottom