Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
Kwa hiyo kwako bugaloo casino njiro ndio kila kitu?:thumbdown:
....Mkuu msamehe anarukiaga chatu gizani !!!
Kwa hiyo kwako bugaloo casino njiro ndio kila kitu?:thumbdown:
Faisal hategemi hiyo tours, ana mali nyingi mfano bugaloo casino njiro
Laki si Pesa kama huna cha kuandika kaa kimya unawezaje kutaja mali ya mtu mwingine kuwa ni ya Fadhal? Halafu sio bugaloo ni Bougaloo na ni mali ya Seif wala sio Fadhal...... Pia anaitwa Fadhal na sio faisal hujui kaa kimya
....vijiwe vya kahawa makamboo shida ..kudandia dandia vitu gizani utandandia na chatu !!
habari wajamvi, kumetokea na sinto fahamu na kampuni hii ya wahindi na madere wake. chanzo cha msuguano huu ni malipo ya makumbusho ya olduvai.anadai madereva wake wanaletarisiti bandia lakin hiyos sababu. mimi nionavyo huyu bwana anahalingumu tu ya kibiashara sasa anatafuta njia mbadala yakuzulumu haki za madereva hao na mpaka sasa watatu wako ndani kisongo. nafikiri hata hao madreva wenyewe hawana ushirikiano mzuri kiasi kwamba kila kukicha manyanyaso yanazidi.
mafuta shida,allowance mbovu.wahindi ni wanyanyasaji sana,washukuru nyerere hayupo.
Fazal kaiweka mkononi serekali ya Kikwete sasa ngoja Laigwanani wa Afrika Mashariki akikalia kiti cha magogoni ndio utajua Fazal ni nani nchi hii.
Tukinukuhu kauli ya Baba wa Taifa hili Mwl.Julius Nyerere "SERIKALI CORRUPTIVE HAINA MENO". Alisema matajiri wakigundua kuwa SERIKALI YAO NI CORRUTIVE (CORRUPTIVE LEADERS) basikatiba na sheria nyingine za nchi hazina meno tena.HIKI NI KICHAKA SALAMA CHA WAHAMIAJI HARAMU.
Hili limethihirika ndani ya LEOPARD TOURS iliyogeuka KICHAKA CHA WAHAMIAJI HARAMUkwa kuwahifadhi na kuwaajiri watu kutoka nchi mbalimbali duniani pasipo kufuata taratibu za nchi. Serikali imekosa meno kwenye hili kwani tumekuwa tukiliripoti kwenye ofici za Uhamiaji na kupewa majibu yanayothibitisha meno ya maafisa uhamiaji Arusha kushughulikia swala hilo kwa LEOPARD TOURS ni butu.
Wameajiriwa WANAJESHI KUTOKA NEPOL ndiyo walinzi GERAGE LEOPARD TOURS, kuna WAHINDI WENGI OFISINI hapa wanafanya kazi pasipo kufuata taratibu, Kuna baadhi ya WAONGOZA WATALII(FRENCH SPEAKING SAFARI GUIDES) kutoka nchi majirani zetu zinazoongea kifaransa, kichaka salama kwao kujificha na kufanya kazi pasipo kuulizwa ni LEOPARD TOURS.
Tunahoji Mkuu wa Uhamiaji ni nini wajibu wa Idara yako hapa Arusha?
Fazal kaiweka mkononi serekali ya Kikwete sasa ngoja Laigwanani wa Afrika Mashariki akikalia kiti cha magogoni ndio utajua Fazal ni nani nchi hii.
We hujui kitu kaa kimya, tuachie ma alwatan wa mji tukupe habari
Tukinukuhu kauli ya Baba wa Taifa hili Mwl.Julius Nyerere "SERIKALI CORRUPTIVE HAINA MENO".JE HAKUNA OFISI ZA UHAMIAJI ARUSHA KWA HAWA WAHAMIAJI HARAMU.
Alisema matajiri wakigundua kuwa SERIKALI YAO NI CORRUPTIVE (CORRUPTIVE LEADERS) basikatiba na sheria nyingine za nchi hazina meno tena.
Hili limethihirika ndani ya LEOPARD TOURS iliyogeuka KICHAKA CHA WAHAMIAJI HARAMUkwa kuwahifadhi na kuwaajiri watu kutoka nchi mbalimbali duniani pasipo kufuata taratibu za nchi.
Serikali imekosa meno kwenye hili kwani tumekuwa tukiliripoti kwenye ofici za Uhamiaji na kupewa majibu yanayothibitisha meno ya maafisa uhamiaji Arusha kushughulikia swala hilo kwa LEOPARD TOURS ni butu.
Wameajiriwa WANAJESHI KUTOKA NEPOL ndiyo walinzi GERAGE LEOPARD TOURS, kuna WAHINDI WENGI OFISINI hapa wanafanya kazi pasipo kufuata taratibu, Kuna baadhi ya WAONGOZA WATALII(FRENCH SPEAKING SAFARI GUIDES) kutoka nchi majirani zetu zinazoongea kifaransa, kichaka salama kwao kujificha na kufanya kazi pasipo kuulizwa ni LEOPARD TOURS.
Tunahoji Mkuu wa Uhamiaji ni nini wajibu wa Idara yako hapa Arusha?
Tukinukuhu kauli ya Baba wa Taifa hili Mwl.Julius Nyerere "SERIKALI CORRUPTIVE HAINA MENO".JE HAKUNA OFISI ZA UHAMIAJI ARUSHA KWA HAWA WAHAMIAJI HARAMU?.