Kwanini ni lazima?
Yesu alisema "mimi ndio njia ya kweli na uzima,mtu haji kwa baba ila kwa mimi"
Kwanini unadhani nahitaji dhehebu?
Kwanini ni lazima?
Yesu alisema "mimi ndio njia ya kweli na uzima,mtu haji kwa baba ila kwa mimi"
Kwanini unadhani nahitaji dhehebu?
Wewe ni msomaji wa Biblia?
Hawa watu ndio wameipotosha sana dunia kuhusiana na mambo haya!
Umesema wewe unamuamini Mungu wa Ibrahuimu Isaka na Yakobo,huyu Mungu umemjuaje?
Kwanini unamuamini?
Nani alikuambia ndiye muumba wa vyote?
Bila samahani!
Mimi ni mkristo lakini sina dhehebu!
umenibana kwenye kona. ila nitachomoka
kwa asili ya ukristo huku kwetu afrika kuzijua habari hizi lazima utakuwa ni muumini wa moja kati ya madhehebu ambapo utakuwa umesoma biblia.
najua utasema umemjua yesu kupitia biblia ambayo haina dhehebu. sawa sitakataa ila kwetu sisi hata hiyo biblia na mafunzo yake mostly ni kupitia makanisa. huwezi niambia from no where umeanza kusoma tu biblia peke yako nyumbani kwako kama hujajishikiza katika dhehebu fulani la ukristo.
kuwa na dhehebu si lazima, lakini kwetu mfn hapa tanzania hakuna mtu ambaye ni mkristo tu.
hata ulokole ni aina ya dhehebu.
mimi ni msomaji mzuri sana wa biblia sijaisoma yote ila ninajua mengi yaliyo katika biblia.
nimemjua kupitia tafakari zangu juu ya mambo mengi, ukijumlisha na habari mbalimbali ambazo wengine waliziandika kumuhusu. lakini pia nimemuexperience.
inaonesha mimi na wewe tunafanana kimtazamo ila najaribu kutafuta tunapopishana wapi bado hapajawa clear kwangu. inaelekea ni padogo sana.
kulikoni hata ukafikia kusema hayo? na mambo gani?
Ni mambo mengi sana
Kuanzia madai yao ya kwamba Petro ni papa wa kwanza wa kanisa hilo
Historia nzima ya Ukristo n.k
Mambo ni mengi sana lakini nakushauri kitafute kitabu cha William Shao kinachoitwa MIAKA 2000 YA UKRISTO,HISTORIA ILIYOPOTOSHWA,kitakufungua macho!
Sawa lakini naomba ushahidi wa madai yako haya!Ha ha ha.. Ukweli utabaki kuwa ukweli na kamwe hautopotoshwa na mtu yeyote....Labda jina pope linakupa taabu..Kwa kifupi ni kwamba St. Peter ndo kiongozi wa kwanza wa Kanisa...Period...
Kanisa katoliki ndo lime-compile na ku-edit bible hiyo unayoisoma sasa...Injili zilikuwa 23..Kanisa(Holy catholic) imezichambua ikatupa 4 ambazo hazina ishabiki ndani yake...Ukitaka kujua zilizo baki kavunje Vatcan uzichukue uzisome na ujue ni kwanini zomeondolewa.....
Petro atabaki kuwa the first pope upende usipende
Una uhakika na haya maelezo yako?...Historia huwa haipotoshwi...
Wapi nimetaka kuwaaminisha?Halafu kwanini unataka kutuaminisha kuwa huyo William Shao ndo mkweli...? Ukweli kwako unaweza ukawa si ukweli kwangu....
Nimepotoshwa kwa mujibu wa nani?Ndugu wewe ndo unahitaji kufunguliwa macho yako maana upo gizani na mafundisho ya kupotoshwa...
Ingekuwa hayo ni maandishi ya Marko au Luka kungekuwa na cha maana
Hivi si u-google tu ili ujue huyo jamaa aliishi mwaka gani?
Halafu jiulize ni kwanini michoro yake ichukuliwe serious kiasi hiki?
Kwani Da vinch ni nani?
Kila mtu anajua hiyo ni picha ya kubuni ni sawa na yule jamaa aliecheza filam ya Yesu aitwe au kuchukuliwa ndie Yesu!
Pathetic!!
Ni mambo mengi sana
Kuanzia madai yao ya kwamba Petro ni papa wa kwanza wa kanisa hilo
Historia nzima ya Ukristo n.k
Mambo ni mengi sana lakini nakushauri kitafute kitabu cha William Shao kinachoitwa MIAKA 2000 YA UKRISTO,HISTORIA ILIYOPOTOSHWA,kitakufungua macho!
namuamini mungu aliyeumba mbingu na dunia na vyote vilivyomo, aliyekuwapo yupo na atakuwapo milele. mungu huyo wengine wametokea kumuita yehova, lakini ndiye mungu huyo aliyekuwa wa wa musa yakobo isaya na wengine wengi.
mungu hana jina. ni mungu.
nafikiri nimejaribu kukujibu.
Bila samahani!
Mimi ni mkristo lakini sina dhehebu!
ili neno litimie ilipaswa iwe hivyo.