Unaposema kanisa unakuwa unazungumzia nani?
Halafu inaonekana unajiuliza maswali ambayo hata hayapo,hebu fikiria,kama vitabu havijulikani vilipo wamejuaje vipo?
Nani aliviona na wapi?
Ndio maana nakuambia hizo ni hisia tu!
Vatcan????
Sory,i don't trust them!
Bado hizi ni hisia tu!
This is a lie!
Kati ya wanafunzi ambao Yesu aliwapenda yupo alietajwa na wenzake hawakuona haya wala aibu kumtaja
Halafu hata wakati wa kwenda kufanya maombi inajulikana wazi ni wanafunzi gani Yesu alikuwa anaenda nao kwenye maombi which mean alikuwa nao karibu kuliko yoyote yule
Kama ni kanisa tu liliamua kuviondoa hivyo vitabu soma ufunuo wa yohana utaona Yesu anavyozungumza na Yohana kuhusiana na kazi ya mitume wote 12!
Hakuna mahali amemtaja Maria magdalena!
Mkuu,
Hakuna mtu anaeweza kuzuia matakwa ya Mungu popote pale,kama Maria Magdalena alikuwa na umuhimu wowote ungejulikana tu
Mbona kwenye agano la kale kuna vitabu vilivyoandikwa na wanawake?
Hebu jaribu kufikiia nje ya box mkuu!
Kuwa mwanafunzi wake sina tatizo napo,tatizo ni kuhusu maandiko ambayo inadaiwa yana umuhimu mkubwa kiasi hiki!
kwa nini usiwamini? je waroma una waamini?
mkuu maswali ndio msingi wa ufahamu, lakini unanishutumu kuwa nauliza maswali ambayo hayapo huku kutokuwapo unaweza kukutolea maelezo?
mkuu samahani kwa swali hili ninalotaka kukuuliza,
wewe dini gani na kama mkristo dhehebu gani?
Unajua kuwa kitabu cha ufunuo kinazungumzia nini?sasa mkuu,
unazungumzia kitabu cha ufunuo kutokutajwa kwa maria je kutokutajwa hapo ndio kunathibitisha kutokuwapo kwa injili ya maria magdalena?
Inaonekana hujanielewa!unathibitisha usemi wangu kuwa unashikilia yale tu uliyofundishwa kanisani kwako au yale yaliyomo tu katika vitabu ulivyofundishiwa.
Unaamini Yesu ni halisi na kwa ushahidi gani?kumbuka vitabu hivi viliandikwa kwa lugha za wakati huo na sio kingereza wala kiswahili je mimi na wewe tunathibitisha vipi kuwa havijawa edited wakati wanatfsiri kiingereza?
Hii imani umeitoa wapi?mimi ni muumini mzuri sana wa imani ya mungu na kristo na ninampenda mungu sana, ila sina imani sana na dini na utawala wake wote na baadhi ya mambo ya kanisa.
Kuhoji utaratibu wa kuabudu sawakuna baaadhi ya wakristo hawapendi kabisa kuhoji mambo ya kanisa na imani kwa ujumla hata ukimwambia vinginevyo hataki hata kukubali hata kama ni kweli. mimi ni mkristo lakini nimejiruhusu kuhoji kila ninapoona inahitajika kufanya hivyo. na kamwe kuhoji kwangu hakutawahi kuja kunivunjia imani yangu juu ya mungu ila kuna imarisha kila siku. ila kila siku ninapohoji juu ya makanisa na taratibu za kuaabudu za makanisa huwa napata tabu sana kuziamini baadhi ya taratibu. ambazo zimejengwa na watu kama mimi na wewe. na kila mmoja akisema ndio taratibu sahihi au kafunuliwa na mungu kufanya hivyo.
Ukweli wote upo kwenye neno la Mungu hakuna pengineimeandikwa tuitafute kweli nayo itatuweka huru.
kama watu wanaogopa kuhoji hiyo kweli itapatikana wapi?
kama kanisa linawaficha watu mambo fulanifulani je hiyo kweli itapatikana wapi?
kama kanisa linawaona wanaohoji wamepotoka je hiyo kweli itapatikana wapi?
Kwani wewe unamuabudu Mungu gani?mkuu, neno la mungu ni lipi nani kasema kuwa hilo ndilo? utathibitishaje kuwa hilo ndilo?
mambo ya kawaida ni yapi?
Bila samahani!
Mimi ni mkristo lakini sina dhehebu!
Kwani wewe unamuabudu Mungu gani?
Anaitwa nani?
Kuhoji utaratibu wa kuabudu sawa
Ila kuna mambo kama kuwa na wasiwasi na maandiko matakatifu huko ni kumtilia mashaka Mungu mwenyewe!
Ukweli wote upo kwenye neno la Mungu hakuna pengine
Kama unafichwa kuisoma Biblia hapo ndipo unafichwa ukweli wote na una haki ya kuhoji!
Mengine ni longolongo tu!
Wote ni walewale tu!
haiwezekani ukakosa dhehebu. lazima unayo hutaki kuitaja.
Wewe ni msomaji wa Biblia?mungu hana jina. ni mungu.
nafikiri nimejaribu kukujibu.
kiongozi,
maandiko matakatifu ni yapi? wewe unathibitishaje kuwa hayo ni matakatifu? kwanza umejuaje kuwa ni matakatifu?
je ni kwa sababu umefundishwa hivyo?
tetetetetet kwa hiyo huwaamini wakatoliki?