Leonardo Da-Vinci

Biblia ni mkusanyiko mkuu...Usijitoe ufahamu...Maana yake vitabu vyake vimekusanywa na pia si kitabu kimoja bali vingi.....
Hili nalijua
Hata Ijili zilikusanywa 24 kwapamoja....Kati ya hizo zikachambuliwa zikabaki 4......Sasa unachatakiwa kujua ni sababu gani zilipelekea vitabu na Injili zingine kuachwa...
Suala hapa sio kusema tu bali ni kusema huku unaweka na ushahidi kwani yoyote yule anaweza kusema chochote kile na akawa sahihi kwa mujibu wake mwenyewe lakini atakapotaka na watu wakubaliane nae ni pale ambapo atakapoleta ushahidi usiopingika

Kuna misukule mingine inasema biblia imechafuliwa bila ushahidi,je nayo tukubalie tu?
Kama hapana ni kwanini?
Naona una ombwe kubwa la historia....Na historia uliyonayo ni yakupotosha(Biased).....
Tatizo hapa sio wewe kuona kuwa nina ombwe bali kuweka ushahidi wa huo ombwe unaodai wewe

Kuna watu wana matatizo ya kuelewa halafu matatizo yao hayo wanayahamishia kwa yale ambayo wameshindwa kuyaelewa,sijui wewe upo kwenye kundi gani
Unatakiwa kulipa kanisa Katoliki Heshima yake ya kukupa Biblia hata kama unalichukia na hukubaluani nalo...
Natakiwa na nani?

Unaijua historia ya Kanisa Katoliki?
Kama unaijua hebu niwekee hapa na uniambie ni kwanini tuiamini hiyo yako na sio nyingine yoyote ile

Kanisa Katoliki halijanipa Biblia,kwa kitendo chako cha kusema hili unaonesha vile ambavyo hujui hata biblia ipo kwasababu gani,lakini zaidi hujui hata biblia imekuwepo kuanzia lini!
 

Hakuna ushahidi wowte katika kitabu ninachoa mini cha quran kwamba Yesu ( Issa) kama alikuwa na girl friend.... ni dhambi kumzushia mtume wa Mwenyezimungu uongo tena unaomdhalilisha... nyie wakristu sasa mmeingia kwenye Laana hakika
 

Wewe mjuvi hebu niambie Biblia ilikuwa kuanzia lini...!! Hebu wacha kunilisha maneno wewe eti sijui Biblia ipo kwa ajili gani....

Historia naijua vizuri...Ila kwakuwa wewe upo biased na Historia unayoijua wewe ni kwa upande wa hasi na si chanya...hata ningekueleza historia ni sawa na kumchezea mbuzi gitaa....
 

Unanishangaza kwa kuwa hujajisumbua hata kujibu nilichokuuliza

Siku hizi sijisumbui na watu wa aina yenu

Kama unataka mjadala baina yangu mimi na wewe uendelee jibu nilichokuuliza kwanza!
 
Hakuna ushahidi wowte katika kitabu ninachoa mini cha quran kwamba Yesu ( Issa) kama alikuwa na girl friend.... ni dhambi kumzushia mtume wa Mwenyezimungu uongo tena unaomdhalilisha... nyie wakristu sasa mmeingia kwenye Laana hakika

Yesu sio Issa!
 
Yesu sio Issa!
YESU NDO NANI SASA... AU HUJAWAHI TOKA NJE YA NCHI YAKO nenda Jordan na Iraq kanisani ukajue jina la Yesu... hutamkwaje kama unajidanganya kila nchi jina lake ni yesu basi tembea kijana... na kwa taarifa yako Allah ndo Mungu kwa kiarabu au nikuwekee verse ya biblia kwa kiarabu?



 
 
bado sijaona cha maana alichofanya zaidi ya kusifiwa tu,uvumbuzi wake wa kisayansi ni upi?ha fikii level za akina galileo,einstein,kepler,newton,etc!zaidi ilikuwa mysterious tu na tumichoro twake tuwili
 
na inasemekana kuwa vitabu vyote vilivyomzungumzia mary navyo vyote viliachwa.
go find the books in vatican library if and only if you can.
si kweli,vitabu vya injili vimemtaja mary magdalena,yule aliyefumaniwa akaokolewa na yesu,na tena kwenye msiba wa lazaro yule Yesu alimfufua,Mary magdalena nduguye martha,mkuu umesahau,injili umemtaja sana tu,na tena alienda kaburini siku ya kwanza ya juma
 
ukristu uliletwa ili tuukubali ukoloni uislamu ili utumwa u take place
 
Nilimaanisha injili ya kwake mwenyewe mkuu.
Na injili zilizoegemea kumuelezea yeye peke yake.
 
Well argument mchunga kondoo wa bwana,...hata mimi nilikuwa najiuliza amewezaje kuchora picha ambayo ime_draw attention ya ulimwengu as if ni ya kweli wakati hata hakuwepo vizazi na vizazi vimepita,...lazima kuna jambo limejificha nyuma ya huyu jamaa


That is the work of lucifer mkuu ht usishangae
 
 

Unaweza hata ukawa hujui ni kwanini nimesema kuwa Yesu sio Isa

Halafu hivi ni kwanini unataka Yesu awe Issa?
Issa hawezi kujisimamia mwenyewe hadi afananishwe na Yesu?

Narudia tena kukuambia kuwa Yesu sio Issa na hilo liko wazi

Yesu Kiarabu sio Issa ni Yeshu,kama kuna walevi au wasiojua wamemuita Yesu Issa hilo ni tatizo lao na sio la watu wengine

Allah haina tafsiri ya moja kwa moja kwa kiswahili na Mungu kwa Kiarabu ni Ilah sio Allah,nenda kamuulize imam wako maana ya Allah kama atakuambia na hakuna anaejua

Allah ni jina na Mungu sio jina bali sifa,chochote kile kinachoabudiwa huitwa Mungu na hata wewe hapo ukianza kuabudiwa utaitwa mungu lakini utakuwa una jina lako na hapo kwenye jina lako ndipo tunapata Allah,kudai Allah maana yake ni Mungu ni ujing.a
 

mawazo ya hovyo na kijinga kabisa! Yesu ni mwokozi aliyekufa na kufufuka akapaa mbinguni. Kama Issa naye ana sifa hizo sawa, otherwise hata Manyovu kuna mbunge anaitwa Obama.
 

elimu nzuri sana, naamini kaelewa. Kama hajaelewa atakuwa na majini, pande moja la kitimoto akili yake itakuwa sawa
 
Ngoja tusubiri tuone kama wataweza kujibu,but for sure hawatoweza.In fact you can't know what U have till you loose it,cjui wanasomaga hao jamaa kwenye kitabu chao,mnfyuuuuuuh.......!

sisi tunasoma na kufikiri clockwise, ninyi mnasoma na kufikiri anticlockwise
 
huyu jamaa ni masonic ukifuatilia michoro yake kwa umakini utaona vijialama fulani nilicheki television y viasatExplorer jamaa walifafanua sana michoro yake

Ni wachache sana wanaoweza kulitambua hilo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…