Hapana sivyo... kuna utafiti naufanyaWewe umeachwa na mumeo na akaamua kubaki na watoto. Na hicho kitendo kimekuuma sana. Maana umeelezea kwa hisia sana.
Kama hujaachwa basi uli-date nao na wakakupiga chini. Kwa hasira ulizonazo umeona ni bora uwaelezee kwa namna hiyo.
hahahaha noma sanaUmesema wanaokaa na watoto sasa kwanini atume hela kwa mzazi mwenza?
Pole sana mkuu, watoto wamechukuliwa kwa hyo chanzo cha mapato kimekatwa?Habarini jmn, natamani tuwe tunawajadili na ma single faza, sio kila siku single maza hivi single maza vile. Kuna kitu nmekinotice kwa masingle faza nliokutana nao.
Masingle faza nnaowaongelea ni wale wanaoishi na watoto wao wenyewe bila mama kuwepo. Asilimia kubwa ya hawa watu wanakuaga hawajui majukumu yao, hawajitambui,wana tabia zisizovumilika, wabinafsi, bahili na wenye roho mbaya na chuki za kutotaka kutuma matumizi kwa mama watoto kuona atafaidi nk.
Hebu share experience yako kama ushakutanaga nao.
Sisi masingle faza ni watu ambao tunajitambua, tunajali, tunajua majukumu yetu kweli na watoto wanakula raha kweli kuliko wangebaki hukoo.Hapana sivyo... kuna utafiti naufanya
Umetumwa?Masingle faza nnaowaongelea ni wale wanaoishi na watoto wao wenyewe bila mama kuwepo. Asilimia kubwa ya hawa watu wanakuaga hawajui majukumu yao, hawajitambui,wana tabia zisizovumilika, wabinafsi, bahili na wenye roho mbaya na chuki za kutotaka kutuma matumizi kwa mama watoto kuona atafaidi nk.
wanawajibika wakishaachiwa watoto kama ivo..Masingo faza wanawajibika sana Kwa watoto wao, Kuna baba mmoja amekimbiwa na mke wake tangu Mtoto wake mkubwa Yuko darasa la tano amepambana mwanae anaingia from three saizi, watoto wanampenda baba na baba anawapenda watoto
Huoni kama ni hatua njema.unakuta mama alkuwa anakaa na watoto bila support yoyote kutoka kwa baba ndo mwishowe anaamua kumpelekea akae nao mwenyewe