mkuu ya mwanzo nimepata,nimetuma nyingine
mkuu ya mwanzo nimepata,nimetuma nyingine
Nk myth za wazungu kwakuwa walikuwa hawaamini kuwa yale majengo yangeweza kupata ile dhahama lakini pia kwenye mioshi mioto vimbunga kiza na hata mawinguMshana Jr
Salaam.
Ulipotuma picha za matukio ya Sept 11, picha moja ya jengo lililokuwa likiungua (could be the WTC) ilikuwa na picha ya binadamu kwenye moshi ulokuwa ukifuuka. Unaweza kutupatia kaufafanuzi kidogo Kaka?
Alitoka kama alivyoingia. Mapinduzi yaliandaliwa na makamanda wa jeshi. Yeye akiwa sajenti akatumwa kwenda ikulu kutekaleza mauaji ya rais tolbert. Alipofanikiwa akarudi kuripoti mafanikio kwa makamanda wake, kinuyume chake akawaua wote, akachukua nchi.Samwel Do alinitia huruma sana dakika za mwisho
Duuu hilo jibu la mwisho kiboko kumbe madikteta wote wanafanana majibuAlitoka kama alivyoingia. Mapinduzi yaliandaliwa na makamanda wa jeshi. Yeye akiwa sajenti akatumwa kwenda ikulu kutekaleza mauaji ya rais tolbert. Alipofanikiwa akarudi kuripoti mafanikio kwa makamanda wake, kinuyume chake akawaua wote, akachukua nchi.
Alipoulizwa baadaye kwa nini amenenepa alijibu kuwa MUNGU aliumba wafupi na warefu, hakuumba wembaba na wanene.
Hakuwa mtu mmoja. Ukumbuke ndege zilipiga magorofa ya chini kidogo. Hivyo watu waliokuwa magorifa ya juu walioosikia joto zaidi walikuwa wanaruka. Mtu anaruka kutoka gorofa ya 100 lakini hajui atafikaje chini. Kwa kuwa kamera zilikuwa mbali ndio unaona watu kama ndege tuMshana Jr
Salaam.
Ulipotuma picha za matukio ya Sept 11, picha moja ya jengo lililokuwa likiungua (could be the WTC) ilikuwa na picha ya binadamu kwenye moshi ulokuwa ukifuuka. Unaweza kutupatia kaufafanuzi kidogo Kaka?
Yaani sura yake alipochukua nchi ni tofauti na anavyonekana hapo. Just google utaziona zoteDuuu hilo jibu la mwisho kiboko kumbe madikteta wote wanafanana majibu
Asante kwa nyongezaNimeukuta huu Uzi juju naomba nirudi tar ya Jana 11/9/1987 hii ni Siku maarufu kwa ragae roots,mwanamziki mashuhuri wa mziki wa ragae PETER TOSH alipigwa risasi na kufariki shambulio lililofanywa nyumbani kwake na Rafiki yake kipenzi LEPO ,inaniuma saana
Asante sana Mkuu.Heri ya Siku yako ya Kuzaliwa!
MhhWatu wengi wanamtazama Samwel Doe kwa ubaya tu lakini naomba niwajulishe kuwa katika nchi inayo ongoza kwa wingi wa maraisi ni Liberia lakini katika hao wote ni Doe pekee ndie aliekuwa mzawa halisi wengine wote ni wageni waliopandikizwa na Marekani,uchumi kipindi cha Doe ulipanda na mpaka leo ukienda Monrovia majengo makubwa ya serikali yalijengwa kipindi cha Doe.Doe alitolewa kwa mpango maalumu ili Helen aingie madarakani na aliefanya kazi ni Chales Teila ila alipomtoa akajitangaza yeye kuwa rais,na ndio maana na yeye alitolewa I'll azima ya kumuweka mama madarakani,someni ka historia
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]asante umeongea kitu ambacho wengi hawakijui nikiwa mmoja wapo ngoja nitafuatiliaWatu wengi wanamtazama Samwel Doe kwa ubaya tu lakini naomba niwajulishe kuwa katika nchi inayo ongoza kwa wingi wa maraisi ni Liberia lakini katika hao wote ni Doe pekee ndie aliekuwa mzawa halisi wengine wote ni wageni waliopandikizwa na Marekani,uchumi kipindi cha Doe ulipanda na mpaka leo ukienda Monrovia majengo makubwa ya serikali yalijengwa kipindi cha Doe.Doe alitolewa kwa mpango maalumu ili Helen aingie madarakani na aliefanya kazi ni Chales Teila ila alipomtoa akajitangaza yeye kuwa rais,na ndio maana na yeye alitolewa I'll azima ya kumuweka mama madarakani,someni ka historia