Leo zamani (kabrasha la kumbukumbu)

Leo zamani (kabrasha la kumbukumbu)

3: leo ni tarehe 11/9
Siku maarufu sana duniani kutokana na majengo pacha ya world trade centre kushambuliwa na magaidi. .ni siku ambayo marekani haitakaa iiisahau
1473554492420.jpg
1473554500177.jpg
 
4: Matukio ya leo tarehe 12/9 Siku ya 255 bado siku 1o9 kumaliza mwaka 2016
-kitaifa
1998 rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi awa mgeni rasmi kwenye kumbukumbu ya kutimiza miaka 100 tangu kifo cha chifu Mkwawa
1964 ujenzi wa bwawa la nyumba ya Mungu ulianza rasmi, bwawa hilo liko mkoani kilimanjaro na shughuli zake ni kufua umeme na uvuvi

-kimataifa
2003 Paul Kagame aapishwa rasmi kama rais wa Rwanda kupitia chama chake cha RPF, huo ndio ulikuwa uchaguzi wa kwanza tangu mauaji ya kimbari
1977 kifo cha mwana harakati wa haki za weusi Steve Biko huko Africa kusini alifia gerezani inasemekana kutokana na mateso ya askari jela wa kizungu
 
Je mshana unaweza nijuza hilo jina la Nyumba ya mungu, ilikuwaje had ikaitwa hvyo....au kwa yeyote anaefaham....
 
Je mshana unaweza nijuza hilo jina la Nyumba ya mungu, ilikuwaje had ikaitwa hvyo....au kwa yeyote anaefaham....
Lile bwawa lilichimbwa na wazungu kwa kutumia technology ya kichimbio konachofanana na meli na baada ya kumaliza kuchimba bwawa na kulijza maji waliliacha lile limashine likielea kama nyumba
Wamasai kuja bwawani wakaona 'nyumba' inaelea lakini bila kujua imefikaje pale ndio wakahitimisha kusema ni nyumba ya Mungu
 
Mshana Jr
Salaam.
Ulipotuma picha za matukio ya Sept 11, picha moja ya jengo lililokuwa likiungua (could be the WTC) ilikuwa na picha ya binadamu kwenye moshi ulokuwa ukifuuka. Unaweza kutupatia kaufafanuzi kidogo Kaka?
 
Back
Top Bottom