Leo wivu umenicost

Leo wivu umenicost

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Ilikuwa hivi,,kuna namba nilikuta kwenye simu ya wife . haina jina, jina alikuwa amesevu kwenye line nyingine. Hatuna mipaka kwenye simu,..sasa badala nimuulize, mi nikachukua hiyo namba, nikawa najaribu kuangalia jina kwa m-mpesa...yani unafanya kama unatuma hela halafu jina linatokea ili nimjue!

Nikajaribu kutuma 50,000. Mara jina likatokea, kumbe ni shemeji yangu wa kike mdogo wake na wife...,mbaya zaidi nilishasahau kumbe kwenye akaunt ya m-pesa kulikuwa na salio,, ile hela ikaenda kweli..sasa huyu binti badala hata anipigie kampigia dadaake, "shemej kantumia hela 50000"
nifanyeje manake naona aibu hata kumwambie arudishe istoshe ni mwanafunzi wa chuo..,

Halafu wife sijui ananielewaje, manake kuanzia jana namwambia sina hela!!

Ameshanuna sasa.
 
mwambie ukweli tu ndugu. vinginevyo atakuelewa vibaya, yeye umwambie huna halafu umtumie mdogo wake tena wa kike...
 
Aisee wivu hauna maana kabisa....! Sawa tu ukinicheka, lakini mi naamini kila mtu ana wivu.,..ila nilichojifunza wivu ni upuuzi mtupu, tuache!!!

Ilikuwa hivi,,kuna namba mpya wife huwa anaitumia, yani anapiga then anafuta, hajaisevu kwa jina,,! Hatuna mipaka kwenye simu,..sasa badala nimuulize, mi nikachukua hiyo namba, nikawa najaribu kuangalia jina kwa m-mpesa...yani unafanya kama unatuma hela halafu jina linatokea ili nimjue!!!
Nikajaribu kutuma 50,000. Mara jina likatokea, kumbe ni shemeji yangu wa kike mdogo wake na wife...,mbaya zaidi nilishasahau kumbe kwenye akaunt ya m-pesa kulikuwa na salio,, ile hela ikaenda kweli..sasa huyu binti badala hata anipigie kampigia dadaake, "shemej kantumia hela 50000"
nifanyeje manake naona aibu hata kumwambie arudishe istoshe ni mwanafunzi wa chuo..,halafu wife sijui ananielewaje, manake kuanzia jana namwambia sina hela!! Ameshanuna sasa.

piga simu voda wa-reverse iyo pesa.
 
mwambie kuwa ulikuwa unamtumia yy ukijua hiyo line ya mkeo,so mkeo amwambie shemejio kuwa airushe
 
Aisee wivu hauna maana kabisa....! Sawa tu ukinicheka, lakini mi naamini kila mtu ana wivu.,..ila nilichojifunza wivu ni upuuzi mtupu, tuache!!!

Ilikuwa hivi,,kuna namba mpya wife huwa anaitumia, yani anapiga then anafuta, hajaisevu kwa jina,,! Hatuna mipaka kwenye simu,..sasa badala nimuulize, mi nikachukua hiyo namba, nikawa najaribu kuangalia jina kwa m-mpesa...yani unafanya kama unatuma hela halafu jina linatokea ili nimjue!!!
Nikajaribu kutuma 50,000. Mara jina likatokea, kumbe ni shemeji yangu wa kike mdogo wake na wife...,mbaya zaidi nilishasahau kumbe kwenye akaunt ya m-pesa kulikuwa na salio,, ile hela ikaenda kweli..sasa huyu binti badala hata anipigie kampigia dadaake, "shemej kantumia hela 50000"
nifanyeje manake naona aibu hata kumwambie arudishe istoshe ni mwanafunzi wa chuo..,halafu wife sijui ananielewaje, manake kuanzia jana namwambia sina hela!! Ameshanuna sasa.

Kama imeenda kwa mwanafunzi wa chuo basi imekula kwako mkuu. Cha kufanya mpe wife hela.

Na huyo mkeo anakaba too much. Namba ya mdogo wake na wewe huna? Na kwa nini awe anaifuta. Na amejua umeipataje no ya mdogo wake na hajakupa? Bora umwambie ukweli tu kwa sababu madhara ya jambo hili ni makubwa na yako mbeleni. Huo ufa kwenye ndoa utazidi kukua kila siku bora uuzibe sasa hivi.
Na nnavyoona pia kuna tatizo katika zoezi zima la ufichaji wa hiyo namba.
 
Hadi raha saa nyingine maana mnahis mnaibiwa muda wote
 
kama imeenda kwa mwanafunzi wa chuo basi imekula kwako mkuu. Cha kufanya mpe wife hela.

Na huyo mkeo anakaba too much. Namba ya mdogo wake na wewe huna? Na kwa nini awe anaifuta. Na amejua umeipataje no ya mdogo wake na hajakupa? Bora umwambie ukweli tu kwa sababu madhara ya jambo hili ni makubwa na yako mbeleni. Huo ufa kwenye ndoa utazidi kukua kila siku bora uuzibe sasa hivi.
Na nnavyoona pia kuna tatizo katika zoezi zima la ufichaji wa hiyo namba.

basi hata kuficha hafichagi sema kasevu jina kwenye line nyingine line ya tigo..nyingine...
 
Nawe unaamini kuwa umemaliza uchunguzi wako iko kuna swali la kujiuliza hapi iweje namba mkeo asiisave na akipigiwa aifute fasta kuna mawili
1) kuna lijamaa likula mzigo kilaini lakini limesajili line kwa jina la shemeji yako
2) mdogo wa mkeo anashirikiana kumchepusha dadaake.
WAJINGA NDO WALIWAO
 
Pole sana na jaribu kumueleza mkeo ili myamalize vizuri.Ila nimependa wivu wako
 
nawe unaamini kuwa umemaliza uchunguzi wako iko kuna swali la kujiuliza hapi iweje namba mkeo asiisave na akipigiwa aifute fasta kuna mawili
1) kuna lijamaa likula mzigo kilaini lakini limesajili line kwa jina la shemeji yako
2) mdogo wa mkeo anashirikiana kumchepusha dadaake.
Wajinga ndo waliwao

ni kweli usemayo!
Ila hiyo namba hako kashem na mimi ninayo na huwa tunawasiliana na nimesevu jina. Sema namba yenyewe ndo nlikuwa sijaikariri.
 
Wivu kidonda ukishiriki utakonda! Unaona sasa!! We mwambie tu ukweli si mkeo huyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom