Nawe unaamini kuwa umemaliza uchunguzi wako iko kuna swali la kujiuliza hapi iweje namba mkeo asiisave na akipigiwa aifute fasta kuna mawili
1) kuna lijamaa likula mzigo kilaini lakini limesajili line kwa jina la shemeji yako
2) mdogo wa mkeo anashirikiana kumchepusha dadaake.
WAJINGA NDO WALIWAO
sasa nilishamwambia bi mkubwa sina hela, wakati jana tu kaniomba.
hahahaha pole mtafutie mkeo helaaaaa ataacha kununa
kwenye kuthibitisha ilikuja namba tu, then nilivyo bonyeza 'ok' ndo nikapata sms yenye jina sasa.
Hebu kuweni na huruma na huyu jamaa ujue amepoteza hela kizembe hivyo na bado unamtia wazimu kwamba anaibiwa aise tunaweza tukampoteza huyu jamaa