Leo Wifi atajibeba...

Leo Wifi atajibeba...

Vannele

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
287
Reaction score
90
Leo atajibeba... Nimemchoka nimechoka wifi yangu na maneno yake ya kunisakama eti sizai... Najaza choo wakati ndoa yenyewe hata mwaka mmoja bado... Leo kaingia choo cha kiume... Nimemkaribisha chumbani nimemfungulia bafu la chumbani kwangu ameoga, nimempa taulo langu amejifutia,kila kitu nimeshea nae kila kitu changu na night dress yangu nimempa amevaa... Sasa nimemfungia chumbani kwangu... Nimemwambia tumeshea kila kitu sasa na mume wangu anakuja yupo njiani na yeye tushee... Ye si anaona mi nafaidi... Alale na kaka yake apate mimba kama anaona mie nimeshindwa...
 
he he he he kweli atajibeba!!!!
Mweee
 
Sorry' i'm going where i'm not looking!!!
 
  • Thanks
Reactions: Paw

Story wauzie wasanii wa bongo movie maana bado hawajaigiza kitu kama hicho'' au wauzie wasanii wa tarabu nao pia hawajaimba hicho kitu''' itakubalika nibalaa hasa kwawamama wamjini.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
mawifi type hizo hasara tu......ukute kaka ake ndio mwenye tatizo

muache ajibebe tu..........
 
mhh.....mtunzi tungo yako haijajibeba
 
Gubu la wifi...!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
duh sijui mila yenu ila kwa mila yetu....wifi haruhusiwi kuingia chumba cha kaka yake.......labda kuwe na sababu maalum.....msamehe tu......binadam tuna mapungufu naye huyo wifi pungufu lake ni hilo gubu.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom